BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Pesa za kibongo ni @ sh350,000/= × 200 sawa sh 70,000,000/= mbona kidogoHivi unavyosema alikiba kutoa PPE 200 ujue MABUMUNDA au MISUKULE yake itaanza kumpaisha pasipo sababu? Hivi unajua hata gloves ni PPE? Unajua bei ya PPE(Gloves) ni Buku....Kama akitoa Gloves 200 ni laki 2.
PPE moja ni 35,000Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
acha watu wajifariji mkuu, maisha ni magum sana kitaaJamii forums kila mtu anapesa ndefu
yeyote utakae sema anakaa kwa shemejiye anakwambia ye anapesa ndefu
daaaaaaah
Kwahiyo Gloves sio PPE? Yaani umekariri kwamba PPE ni gauni............KIBAKULI wenu atanunua Gloves 200 za Buku Buku kisha akatangaza ametoa PPE na misukule yake ikajua ni magauni ya nylon maana wanajua PPE ni magauni tu.Kwa wewe na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona nani anajua definition ya PPE.?
FICHA UJINGA WAKO,mtoto kiume lakini una wivu wa kike,unachukia mpaka vitu vya msingi.
Na ubaya wa humu kila mmoja anajua maisha ya mwenzie mpk wanasema we unakaa kwa shemejiJamii forums kila mtu anapesa ndefu
yeyote utakae sema anakaa kwa shemejiye anakwambia ye anapesa ndefu
daaaaaaah
Dogo kama unakaa kwa shemeji ni ww peke yako mi nimetoka kwetu nikiwa na miaka 15 nikaaanza kujitegemea hata huyo unayemsifu humu hawezi kunifikia hata nusu unafikiri mimi kama ww najipendekeza kwa mwanaume mwenzangu jiongeze kijana sio kila unayemuona humu anakaa kwa shemeji kama ulivyo ww sie wengine tulishajijenga miaka 10 nyuma huko na sasa hivi tunaendelea kuongeza miladi ya kutuingizia pesa tu
mkuu we acha tu... yaani watu wa humu hawataki kabisa kuambiwa ukweli halisi wa maisha yaoJamii forums kila mtu anapesa ndefu
yeyote utakae sema anakaa kwa shemejiye anakwambia ye anapesa ndefu
daaaaaaah
hahahaaa Tatzo hilooNa ubaya wa humu kila mmoja anajua maisha ya mwenzie mpk wanasema we unakaa kwa shemeji
Haya bana acha nikuache ila siku zote ukae ukijua msifia mvua jua imemnyeshea kwa hiyo hakuna anayeweza ongelea jambo lisilomfikaHahahaaah! Kukaa kwa shemeji sio dhambi kaka... muhimu hakikisha unakuwa mpole ili upewe jero la bando la kuja kutambia huku jf kuwa unabiashara Mo Dewji akasome
Kama ungekuwa na pesa hiyo usingekuwa na mawazo ya kimasikini namna hiyo jombaa
tafuta mishe kitaa hata ya kusukuma mkokoteni ili ujitegemee bro...
usitutishe kwa maneno ya kwenye kanga wakati uandishi wako tu unaonesha namna gani unavonuka shida
Wakati wanaonyesha zilizobuniwa muhimbili tuliambiwa zinazotambuliwa na WHO ni Kati tsh 350k Hadi 550k Ila za muhimbili zitakuwa 30k na walishauliwa wapeleke TBS ili likadhibitishwe majibu bado.sijui za king Kiba zipi hapo.!Hivu hizo PEP ni how much?
Hata mzazi wako anaweza kukuasa kuwa "mwanangu usiende kuopoa wale machangu pale corner bar", hiyo haimaanishi kuwa naye alikuwa anajirahisisha pale au mzee naye alikuwa muopoaji...Haya bana acha nikuache ila siku zote ukae ukijua msifia mvua jua imemnyeshea kwa hiyo hakuna anayeweza ongelea jambo lisilomfika