Corona: Ali kiba kujitolea PPE 200

Corona: Ali kiba kujitolea PPE 200

Yaliyo idhinishwa na WHO vazi moja ni laki mbili na nusu hadi laki tatu 300000*200=60,000,000 Kiba hawezi kutoa hii hela..
PPE moja ni 35,000
Afu hajatoa Alli kiba ni SAMAKIBA yani samata na Alli kiba afu katika hela hyo 3/4 katoa Samata
 
Kwa wewe na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Bi. Zuhura Mawona nani anajua definition ya PPE.?

FICHA UJINGA WAKO,mtoto kiume lakini una wivu wa kike,unachukia mpaka vitu vya msingi.
Kwahiyo Gloves sio PPE? Yaani umekariri kwamba PPE ni gauni............KIBAKULI wenu atanunua Gloves 200 za Buku Buku kisha akatangaza ametoa PPE na misukule yake ikajua ni magauni ya nylon maana wanajua PPE ni magauni tu.
 
Karia koo mtumation na Mbagala kwenye huo msaada maana sio wa Kiba ni wa Kiba na Samatta
Msituchukulie Mbagala poa
 
Dogo kama unakaa kwa shemeji ni ww peke yako mi nimetoka kwetu nikiwa na miaka 15 nikaaanza kujitegemea hata huyo unayemsifu humu hawezi kunifikia hata nusu unafikiri mimi kama ww najipendekeza kwa mwanaume mwenzangu jiongeze kijana sio kila unayemuona humu anakaa kwa shemeji kama ulivyo ww sie wengine tulishajijenga miaka 10 nyuma huko na sasa hivi tunaendelea kuongeza miladi ya kutuingizia pesa tu

Hahahaaah! Kukaa kwa shemeji sio dhambi kaka... muhimu hakikisha unakuwa mpole ili upewe jero la bando la kuja kutambia huku jf kuwa unabiashara Mo Dewji akasome

Kama ungekuwa na pesa hiyo usingekuwa na mawazo ya kimasikini namna hiyo jombaa

tafuta mishe kitaa hata ya kusukuma mkokoteni ili ujitegemee bro...

usitutishe kwa maneno ya kwenye kanga wakati uandishi wako tu unaonesha namna gani unavonuka shida
 
Jamii forums kila mtu anapesa ndefu
yeyote utakae sema anakaa kwa shemejiye anakwambia ye anapesa ndefu
daaaaaaah
mkuu we acha tu... yaani watu wa humu hawataki kabisa kuambiwa ukweli halisi wa maisha yao
 
Hahahaaah! Kukaa kwa shemeji sio dhambi kaka... muhimu hakikisha unakuwa mpole ili upewe jero la bando la kuja kutambia huku jf kuwa unabiashara Mo Dewji akasome

Kama ungekuwa na pesa hiyo usingekuwa na mawazo ya kimasikini namna hiyo jombaa

tafuta mishe kitaa hata ya kusukuma mkokoteni ili ujitegemee bro...

usitutishe kwa maneno ya kwenye kanga wakati uandishi wako tu unaonesha namna gani unavonuka shida
Haya bana acha nikuache ila siku zote ukae ukijua msifia mvua jua imemnyeshea kwa hiyo hakuna anayeweza ongelea jambo lisilomfika
 
Haya bana acha nikuache ila siku zote ukae ukijua msifia mvua jua imemnyeshea kwa hiyo hakuna anayeweza ongelea jambo lisilomfika
Hata mzazi wako anaweza kukuasa kuwa "mwanangu usiende kuopoa wale machangu pale corner bar", hiyo haimaanishi kuwa naye alikuwa anajirahisisha pale au mzee naye alikuwa muopoaji...

Ila watakusoma kwa vingi na kukupatia sifa unayostahili km nilivofanya mimi hapa
 
Back
Top Bottom