joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Changamoto za mipakani mwa Kenya na Tanzania zatu…:
Wahenga walisema "A hungry stomach can't fight", yaani tumbo lenye njaa haliwezi kupigana. Wakenya walijaribu kutingisha kibiriti kwa kukiuka makubaliano yaliyofikiwa awali ya kwamba kila dereva apime nchini kwake na kupewa cheti kitajachokubalika katika nchi Jirani, baadae Kenya walikataa kuvitambua vyeti vya Tanzania jambo lililisababisha Tanzania kuzuia malori kuvuka kutoka na kwenda Kenya kwa zaidi ya wiki mbili sasa.
Hatimaye Kenya imesalimu amri na kukubaliana na makubaliano ya awali baada ya bei za vyakula kupanda maradufu kutokana na uhaba wa chakula toka Tanzani.
Ili kuficha aibu hiyo, magazeti ya Kenya yamepotisha na kusema kwamba madereva watapimwa katika nchi wanazokwenda. Ukweli ni kwamba Kenya imesalimu amri.