eddy25r
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 902
- 785
Hivi hujui Djibouti is the largest transhipment port in Africa.Umuhimu wa port ya Djibouti ni UPI?, nchi ngapi zinahudumiwa na Port ya Djibouti zaidi ya Ethiopia?. Huyo aliyekuambia port ya Djibouti ni namba mbili ni nani?.
Wacha kuzungumza vitu toka kichwani mwako ili kujiliwaza, Port ya Djibouti haina umuhimu wowote wa kibiashara hapa Africa, umuhimu wa nchi ya Djibouti upo ni kwa ajili ya vita tu, Djibouti ipo karibu sana na nchi za kiarabu hasa Saudia ya Yemen, nchi ambazo mataifa ya USA, China na Iran yana maslahi katika eneo hilo,lakini kibiashara, Djibouti is not strategically located at all.
Nchi ambazo ni very Strategically located interms to port accessibility are
1)Tanzania
2)Mozambique
3)Kenya
Meli kubwa husimama Djibouti na kutransafer cargo to smaller ships which then come to shitty ports kama Dar.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app