komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa ndio maabara?. Tanzania tuliacha kupima muda mrefu, tunatumia "body temperature pekee, kwa watalii na mtu mwingine yeyote anayeingia na kutoka Tanzania, hata hao Madereva tunawapima joto mwili na kuwapa " Certificate ", hatutaki ujinga wa kupima. Hahahaha, Hahahaha. Tanzania hoyeeeee.Utakuta ni nyinyi ndo mlituonyesha maabara mnayopima tukaikagua hadi sasa ndo tunaamina kwamba mna uwezo wa kupima scientifically bila kuongeza mapapayu ndani ya samples [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Alafu baada ya kukagua aabara yenu ndo unakuja hapa kutunisha misuli ya hewa
Tanzania au wafanyibiashara wameshafanya yao[emoji23][emoji23]Njaa ndio maabara?. Tanzania tuliacha kupima muda mrefu, tunatumia "body temperature pekee, kwa watalii na mtu mwingine yeyote anayeingia na kutoka Tanzania, hata hao Madereva tunawapima joto mwili na kuwapa " Certificate ", hatutaki ujinga wa kupima. Hahahaha, Hahahaha. Tanzania hoyeeeee.
Hapo kwa border mmekubali kueka maabara itakayopima madereva wanaongia Kenya, hii ndo sababu huu mzozo umetatuliwa !Njaa ndio maabara?. Tanzania tuliacha kupima muda mrefu, tunatumia "body temperature pekee, kwa watalii na mtu mwingine yeyote anayeingia na kutoka Tanzania, hata hao Madereva tunawapima joto mwili na kuwapa " Certificate ", hatutaki ujinga wa kupima. Hahahaha, Hahahaha. Tanzania hoyeeeee.
Gazeti lenu ndio limepotosha, msikilize waziri na uwasiliane na wafanyakazi wa pale mpakani, au madereva watakuambia ukweli. Tanzania habari ya kupima tulishasitisha, huku Corona ni kitu cha zamani, zaidi ya kupima joto mwili, hatupimi mtu yeyote, njoo pale Namanga ndio utajionea. Hahahaha, Hahahaha, HahahahaHapo kwa border mmekubali kueka maabara itakayopima madereva wanaongia Kenya, hii ndo sababu huu mzozo umetatuliwa !
With 213 covid 19 new cases in Kenya, Kenya is now a "hot spot" in East Africa as far as Corona virus is concerned!Utakuta ni nyinyi ndo mlituonyesha maabara mnayopima tukaikagua hadi sasa ndo tunaamina kwamba mna uwezo wa kupima scientifically bila kuongeza mapapayu ndani ya samples 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Alafu baada ya kukagua aabara yenu ndo unakuja hapa kutunisha misuli ya hewa
Hampimi vipi? Tz si juzi tu waziri mkuu katangaza kesi 66? Ama hawa walikuwa wanaugua dengue? 😂Njaa ndio maabara?. Tanzania tuliacha kupima muda mrefu, tunatumia "body temperature pekee, kwa watalii na mtu mwingine yeyote anayeingia na kutoka Tanzania, hata hao Madereva tunawapima joto mwili na kuwapa " Certificate ", hatutaki ujinga wa kupima. Hahahaha, Hahahaha. Tanzania hoyeeeee.
We boya huku hatufanyi ujinga huo
Hao 66 ni wale waliokua wamelazwa Hospital mbalimbali za Tanzania. Tunapima wale wenye dalili na waliokwenda Hospital, kama joto mwili lipo sawa na huonyeshi dalili zozote kama hao madereva, hatupimi mtu yeyote.Hampimi vipi? Tz si juzi tu waziri mkuu katangaza kesi 66?
Ama hawa walikuwa wanaugua dengue? [emoji23]
Tatizo mpo na very low IQ, ndio sababu Corona inawatesa hadi Ikulu
MATAGA, huyu atakuwa waziri mkuu wa Syria au?
Uganda ipi hiyo hii wanawatimua na kuwasababishia vifo madereva wenu?Tulielewana na Uganda kwamba kila mtu atapima kwake tangu last month, hakuna mtu alipiga kelele, lakini tukielewana na Tanzania ili kuondoa ule msongamano basi Tanzania kashida.... WTF
Kwa kanchi Kama Djibouti ambako n sawa n kaunti yenu moja...h aha haLakini bado tumeshinda UN seat .That will never change no Matter how many threads you open baba
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Sowhat.Kwa kanchi Kama Djibouti ambako n sawa n kaunti yenu moja...h aha ha
Djibouti ni ndogo kwa kila kitu, haina "influence" yoyote hapa Africa na duniani, sema umuhimu wa Djibouti hapa Afrika ni Upi, kwani Bandari ya Djibouti inahudumia nchi zipi muhimu zaidi ya Ethiopia, hizo military bases zinaleta umuhimu gani duniani zaidi ya hizo nchi zenye wanajeshi wao?.Sowhat.
What does a nations size dictate this. Singapore is smaller than Tanzania yet richer and more powerful on every aspect .Hako kanchi kadogo (Djibouti) kako na port in one of the most strategic location in Africa ,kako na bases za the most powerful armies dunia mzima na kako na many treaties na powerful nations worldwide kama china( which voted for them.
Yet we won by gaining as many votes by lobbying our friends and allies worldwide . Tanzanians should stop comparing physical sizes of nations and start looking at what those small countries have to offer .
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Ungejua kiswahili ungeelewa anamaanisha nini
MATAGA, huyu atakuwa waziri mkuu wa Syria au?
Strategic location matters ..port ya Djibouti , military bases za nearly 10 superpowers juu ya strategic location. Kumbuka Singapore developed due to its strategic location in the shipping lanes(malacca strait) .. Djibouti is also well placed just like Singapore . Kumbuka. Eastern Africa yote, Port yao ni number 2 after Mombasa port . It might look like a small national but do not underestimate its diplomatic prowess.Djibouti ni ndogo kwa kila kitu, haina "influence" yoyote hapa Africa na duniani, sema umuhimu wa Djibouti hapa Afrika ni Upi, kwani Bandari ya Djibouti inahudumia nchi zipi muhimu zaidi ya Ethiopia, hizo military bases zinaleta umuhimu gani duniani zaidi ya hizo nchi zenye wanajeshi wao?.
Mkubwa na umuhimu wa nchi duniani hutokana na
1)Uchumi wa nchi
2)Ukubwa wa soko lao la ndani
3)Maendeleo ya nchi katika Technology
4)Natural resources
5)Military capability
6)Advanced manufacturing sector
Djibouti katika hivyo haina hata kitu kimoja, unawezaje kusema Djibouti ni nchi muhimu na kulinganisha na Singapore au Israel?
Umuhimu wa port ya Djibouti ni UPI?, nchi ngapi zinahudumiwa na Port ya Djibouti zaidi ya Ethiopia?. Huyo aliyekuambia port ya Djibouti ni namba mbili ni nani?.Strategic location matters ..port ya Djibouti , military bases za nearly 10 superpowers juu ya strategic location. Kumbuka Singapore developed due to its strategic location in the shipping lanes(malacca strait) .. Djibouti is also well placed just like Singapore . Kumbuka. Eastern Africa yote, Port yao ni number 2 after Mombasa port . It might look like a small national but do not underestimate its diplomatic prowess.
Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Djibouti, Egypt ,moroco, South Africa, Kenya, Ivory CoastUmuhimu wa port ya Djibouti ni UPI?, nchi ngapi zinahudumiwa na Port ya Djibouti zaidi ya Ethiopia?. Huyo aliyekuambia port ya Djibouti ni namba mbili ni nani?.
Wacha kuzungumza vitu toka kichwani mwako ili kujiliwaza, Port ya Djibouti haina umuhimu wowote wa kibiashara hapa Africa, umuhimu wa nchi ya Djibouti upo ni kwa ajili ya vita tu, Djibouti ipo karibu sana na nchi za kiarabu hasa Saudia ya Yemen, nchi ambazo mataifa ya USA, China na Iran yana maslahi katika eneo hilo,lakini kibiashara, Djibouti is not strategically located at all.
Nchi ambazo ni very Strategically located interms to port accessibility are
1)Tanzania
2)Mozambique
3)Kenya