Corona: Baada ya njaa na bei za chakula kupanda, Kenya yasalimu amri

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Changamoto za mipakani mwa Kenya na Tanzania zatu…:


Wahenga walisema "A hungry stomach can't fight", yaani tumbo lenye njaa haliwezi kupigana. Wakenya walijaribu kutingisha kibiriti kwa kukiuka makubaliano yaliyofikiwa awali ya kwamba kila dereva apime nchini kwake na kupewa cheti kitajachokubalika katika nchi Jirani, baadae Kenya walikataa kuvitambua vyeti vya Tanzania jambo lililisababisha Tanzania kuzuia malori kuvuka kutoka na kwenda Kenya kwa zaidi ya wiki mbili sasa.

Hatimaye Kenya imesalimu amri na kukubaliana na makubaliano ya awali baada ya bei za vyakula kupanda maradufu kutokana na uhaba wa chakula toka Tanzani.

Ili kuficha aibu hiyo, magazeti ya Kenya yamepotisha na kusema kwamba madereva watapimwa katika nchi wanazokwenda. Ukweli ni kwamba Kenya imesalimu amri.
 
Lakini bado tumeshinda UN seat .That will never change no Matter how many threads you open baba

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Hongereni kwa kushindana na Djibouti, nchi yenye population ya 1.5M vs 47M Hahahaha, Hahahaha.

Vipi kuhusu kusalimu amri mbele ya Tanzania?
Changamoto za mipakani mwa Kenya na Tanzania zatu…:
 
 
Tulielewana na Uganda kwamba kila mtu atapima kwake tangu last month, hakuna mtu alipiga kelele, lakini tukielewana na Tanzania ili kuondoa ule msongamano basi Tanzania kashida.... WTF
 
Tulielewana na Uganda kwamba kila mtu atapima kwake tangu last month, hakuna mtu alipiga kelele, lakini tukielewana na Tanzania ili kuondoa ule msongamano basi Tanzania kashida.... WTF
Ninyi ndio mlikataa hilo wazo na mkalazimisha kuwapima watanzania eti hamuamini Certificates za Tanzania. Tumeweka mguu chini na kusema ni marufuku kwa mtanzania kupimwa tena Kenya, kila mtu abaki kwao.

Mlivumilia kwa wiki mbili, njaa ilipowazidia mkaona hamna jinsi, ni bora tukubali kuzitambua "Certificates a" za Tanzania ili kunusuru wakenya dhidi ya janga la njaa.

Hamuwezi kutunishiana msuli na Tanzania, sisi ndio baba wa EAC. Hahahaha, Hahahaha
 
Utakuta ni nyinyi ndo mlituonyesha maabara mnayopima tukaikagua hadi sasa ndo tunaamina kwamba mna uwezo wa kupima scientifically bila kuongeza mapapayu ndani ya samples 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Alafu baada ya kukagua aabara yenu ndo unakuja hapa kutunisha misuli ya hewa
 
Hiyo ndio ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…