Corona: Baada ya njaa na bei za chakula kupanda, Kenya yasalimu amri

Hivi hujui Djibouti is the largest transhipment port in Africa.
Meli kubwa husimama Djibouti na kutransafer cargo to smaller ships which then come to shitty ports kama Dar.

Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
 
Djibouti inatumiwa na nchi zipi, si useme, umuhimu wa Djibouti ni upi?, hujui lolote kazi ni kupiga Domo.

Bandari ya Tanzania inategewa na nchi zifuatazo, Rwanda 90%, Zambia 95%, Malawi 95%, Burundi 98%, Eastern DRC 70%, Uganda 20%.

Bandari ya Kenya inategemewa na; Uganda 80%, South Sudan 90%, Rwanda 10%, Eastern DRC 30%. Ipi kati ya hizi mbili ni more strategic?
 
The question is which of the two is already bigger than the other .

Hahhahaa

Na hiyo strategicness yenyu na bado nyninyi ni maembe tu.
 
Ati Tanzania is the most strategic port africa ..hahaaa
Hivi huna aibu ukitext vitu vingine .


Sent from my SM-N975F using JamiiForums mobile app
Kwasababu hujui unachozungumza, Bandari ya Mombasa inategenewa na nchi chache sana kulinganisha na Tanzania, mizigo mingi inayohudumiwa na bandari ya Mombasa ni mizigo ya Kenya, Kenya kusafirisha chai kwa wingi na huagiza mizigo mingi toka nje zaidi ya Tanzania.

Bandari ya za Tanzania hutumiwa na nchi nyingi kuliko Kenya. Umuhimu wa bandari ni pale hiyo bandari inapotegemewa na nchi nyingi, sio nchi moja au tatu kama ilivyo Kenya.
 
eddy25r,

Sikiliza wewe, acha kucheza santuri ya babu yako Charles Njonjo. Kazi ya ujamaa ilikuwa ni kuunganisha nchi, hii nadharia (concept) ya nchi haikuwa ya kiafrika, tuliletewa tuu na wazungu.

Huwezi kujenga nchi kama kuna migawanyiko baina ya vikundi vya watu. Tanzania yenye makabila zaidi ya 120 is the most linguistically diverse country in Africa (fourth in the world after Papua New Guinea, Vanuatu and Solomon Islands).

We had to do something drastically to build our Nation and ujamaa was the only way at the time. We won that tribalism battle, you don't know that because you don't have a warrior blood in you. You never won any war or built anything from scratch as a Nation, other than copying everything from abroad.
 
Wakenya msiache kupima Corona maana nyie hamueleweki!!! kila siku Pima, Pima, Pima!!! Halafu kwa kuwa wamekuwa wengi wenye Corona na huwezi kuwahudumia, funika kichwa chini kwenye udongo halafu jitoe ufahamu useme, hawa asymptomatic hawaambukizi!! Halafu waachie warudi nyumbani wakaambukize wengine halafu Pima, Pima, Pima wazungu si wanakupa pesa? Japo ni Deni sio neno! Pima, Pima wakati sisi tunalima!! Tutakutana sokini!!
 
Unakichukia kingereza wakati kitambulisho chako kina sehemu kimeandikwa kwa Kingereza
 
Leo vile tumeshinda hicho kiti ndio mnaiponda port ya djibout kisa point zenu zionekane valid[emoji23][emoji23]
Ikija swala la lamu port, mnaiunga mkono port ya djibout..
Kweli mchawi utamjua na maneno yake tu
 
Umetoa wapi hizo data
Alafu mbona mna handle less than mombasa port
 
Unakichukia kingereza wakati kitambulisho chako kina sehemu kimeandikwa kw kingereza
hakuna sehemu nimeandika kua nakichukia kingereza, ila sisi kwetu kingereza tuna kipa heshima kama lugha nyingine tunavyozieshimu, tofauti na nyie wakenya mnaodhani kuelimika ni pale mtu anavyojua kuzungumza Kingereza
 
Hakuna sehemu nimeandika kua nakichukia kingereza, ila sisi kwetu kingereza tuna kipa heshima kama lugha nyingine tunavyozieshimu, tofauti na nyie wakenya mnaodhani kuelimika ni pale mtu anavyojua kuzungumza kingereza
Sasa ndio umekuja kwa wivu, kenya km umesoma mpka level inayoeleweka huwezi kosa kukijua, mfumo wetu wa elimu ni Kingereza mwanzo mwisho, sasa hapo jamani utasemaje una elimu ya maana wakati huijui lugha uliofunzwa nayo kukupa hyo elimu.

Majungu kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…