#COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba


Subiri uchambwe na wazee wa "RIP MAGUFULI, TUNAKUMISS BABA"
🤣🤣🤣🤣🤣
 

Huyu mama ana nia nzuri kwa wananchi wake, yuko serious na hili gonjwa....lau angelikua yeye ndie raisi kwa miaka hiyo mitano ya Magu tungeshapata chanjo na kuokoa mamia ya watu waliotutoka....


Wanaomchukia na kumuona hafai huyu mama watajiona wapumbavu
 

Hapo mwisho mkuu kuna mambo inabidi ayarekebishe kwanza:

1. Kauli yake ya uchumi kwanza ina ukakasi.
2. Kodi mafuta na tozo uzalendo ukakasi mwingine.
3. Kutokomaa na issue za CAG ukakasi wa kutosha.
4. Chanjo Desemba wakati wao wameshachanjwa - fyongo!
5. Nk

Yako mengi mkuu.
 

Kweli kamanda, hapo hata mimi naunga mkono maoni yako, ongezea na katiba mpya itapendeza zaidi
 
Madelu ni nani ?

Yule mwenzako anayetutaka tuwe wazalendo zaidi kwa kumgharimia yeye kwa ajili ya chanjo na marupurupu yote. Huku wanawe wakisoma ile shule ambayo kidato cha sita ni #2 kitaifa.
 
Yule mwenzako anayetutaka tuwe wazalendo zaidi kwa kumgharimia yeye kwa ajili ya chanjo na marupurupu yote. Huku wanawe wakisoma ile shule ambayo kidato cha sita ni #2 kitaifa.
Simjui na machanjo yenu hatuyataki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…