#COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba

#COVID19 Corona: Chanjo hadi Desemba

mimi sina shida ya kuchanja na familia yangu haichanji.

Mimi, familia yangu na jamaa zangu kibao kama walivyo fanya Mama, Madelu na yule aliyefuata Madagascar tena kwa gharama zetu nasi tutachanjwa.
 
Bado naendelea kuuliza, hivi tunapambana na Corona au tunacheza na Corona?
 
Bado naendelea kuuliza, hivi tunapambana na Corona au tunacheza na Corona?

Iko hivi:

1. Ukisha chanjwa hata ukiambukizwa tafiti zinaonyesha impact inakuwa si kubwa tena. Nafasi ya kuwa hospitalized baada ya kuchanjwa inakuwa very minimal.
2. Ukisha chanjwa wewe na familia yako ukiwa na ubinafsi wa kupitiliza Corona kwako inakuwa ni non issue. Yaani inakuwa mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la Sufi.

Umeona ngoma ilipo the top brass wanaotuletea kodi za uzalendo hali wao haziwahusu, are already vaccinated.

Upo hapo mkuu?
 
Kupata Vaccine lazima tufuate protocol ataanza mama, Makamu wake, baraza la Mawaziri, .....mpaka mimi niliyeko Endabash huku nitakuwa nimeshajua kama chanjo iko vizuri au laa !!
Lazima wawe experimented kwanza na iwe siku hiyo hiyo wasitulete mambo ya KAOLE bure mkuu.😂

Maana tusije tukaigiziwa kumbe CHANJO nzuri wanaenda kuchoma kwao
 
Iko hivi:

1. Ukisha chanjwa hata ukiambukizwa tafiti zinaonyesha impact inakuwa si kubwa tena. Nafasi ya kuwa hospitalized baada ya kuchanjwa inakuwa very minimal.
2. Ukisha chanjwa wewe na familia yako ukiwa na ubinafsi wa kupitiliza Corona kwako inakuwa ni non issue. Yaani inakuwa mzigo wa mwenzio kwako ni kanda la Sufi.

Umeona ngoma ilipo the top brass wanaotuletea kodi za uzalendo hali wao haziwahusu, are already vaccinated.

Upo hapo mkuu?
So why mpaka december?
 
So why mpaka december?

They care about themselves. They are already vaccinated. Even if it doesn't come by December, what have they to lose?

Why are the vaccines available in Zanzibar but not in the mainland?
 
Back
Top Bottom