darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Jiwe atapinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna aliyekuzuia wee ukitaka nenda kapate chanjo,.
Jiwe atapinga.
Taifa zima linajua mchawi wetu ni nani lakini sasa namna ya kumshugulikia ndipo kila mtu anaogopa.Hapo atakuwa na maumivu makali sana na hata kufa kwa kihoro.
Sala zake hizi dawa zisiwe na mafanikio kabisa.
Katika wachawi, mtu wa namna hiyo kwa hakika ni baba lao.
Taifa zima linajua mchawi wetu ni nani lakini sasa namna ya kumshugulikia ndipo kila mtu anaogopa.
Tangu lini mzungu akawana upendo na Africa??? Udhaifu wetu ndo silaha anayoitumia kutu tumia atakavyo!!! sijui lini tutatoka kwye kitanzi hiki!! Tuna ishi kwa kufuata upepo.Mabeberu hawatupendi, jiwe kasema tusiwasikilize.
Mungu anatuletea wepesi wa KUFA binadamu tunaukataa sijui hata tupoje,.
Usishangae buji unampango wa kuishi milele.
Dhihaka hizo.hauko seriousKwanini nichukie watu kufa ikiwa kifo ni mpango wa Mungu????
Mungu anatuletea wepesi wa KUFA binadamu tunaukataa sijui hata tupoje,.
Acheni porojo, kapige nyungu Kwanza.Mambo ya kushauriana kuhusiana na huu ugonjwa wapi na wapi mburula wewe?..
KWANINI umeanza kuisifia israel?
Israel na kupiga kwao hatua imeusika vipi na maada yako?
Au na huku ushaanza mchezo wa kama YouTube? .
acheni porojo.kapige nyungu Kwanza.
Wee kijana acha kukufuru we!Nimeanza hivyo ili kuonyesha taifa hili la Mungu liliotutangulia mno, ambalo wala hata halijatengeneza chanjo yake lenyewe, linatumia chanjo zilizopo na kwa hakika limezivulia kofia!
Sembuse sisi na ile mishamba ya pale Lumumba?
Ina maana kufa ni dhihaka?Dhihaka hizo.hauko serious
Hizi ni akili kisoda...chanjo imepatikana wabantu wanaipinga na kuipiga teke kabisa wakati hawajaifanyia research yoyote...je, mtu huyu utamweka kundi lipi??? Kufurahia vifo vikiendelea kuzidi ama nini!!! Mtu huyu atambue kuwa corona ipo na haichagui wa kumpiga.
Wee kijana acha kukufuru we!
Unailinganisha Tanzania na mataifa ya kipumbavu?
Mabibi na mabwana kwa mara nyingine imethibitika kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya binadamu kisayansi haijawahi watupa waja wake mola.
Israel ni taifa lililoendelea mno katika kila hali ikilinganishwa na nchi nyingi duniani. Hata hivyo duniani ni kutegemeana ambapo wingi na tofauti zetu ndiyo salama yetu.
Israel si mtengenezaji wa chanjo hii. Anaitumia na wanathibitisha kuwa i thabiti na iko 94% effective.
Vifo na maambukizi yamepungua mno.
Ni kwa vitendo kuwa katika ulimwengu uliostaarabika, jitihada za kuhami maisha ya watu ni kipaumbele.
Ajabu ni kuwa habari kama hii ni mwiba mchungu kwa wale wengine kutwa kucha kutuchulia misiba.
Ama kwa hakika maneno matupu hayavunji mfupa!
---
More data from Israel's vaccination programme is suggesting the Pfizer jab prevents 94% of symptomatic infections.
This indicates the vaccine is performing just as well in a larger population as it did in the clinical trials.
It is proving highly effective at preventing illness and severe disease among all age groups, according to public health doctor Prof Hagai Levine.
"High vaccination coverage of the most susceptible groups" was key, he said.
Israel's largest health fund Clalit looked at positive tests in 600,000 vaccinated people and the same number of unvaccinated people, matched by age and health status.
It found 94% fewer infections among the vaccinated group.
This was based on test results in people's medical records, usually taken if they had symptoms or were a close contact of someone who had tested positive.
And the vaccine prevented almost all cases of serious illness.
This pattern was the same in all age groups - including the over-70s, who may have been under-represented in clinical trials.
The data has not yet been formally published.
But it "sends a message to other countries such as the UK" about the usefulness of the vaccine, said Prof Levine, and the need to get "very high" coverage of the groups most likely to become very ill from the virus.
He said he could not put a number on what proportion of the population would need to be immunised before restrictions could ease.
"We still don't know what the impact is on transmission," he said.
But we can say that, at least, "the vaccine is useful for personal protection", he added.
Prof Eran Segal, who is analysing data for the Israeli Ministry of Health, suggested Israel had to vaccinate 80% of its over-60s before learning of its effect on Covid-19 cases.
Israel is the first country in the world to see the impact of its vaccination programme, but it took significant population coverage and several weeks to reach this milestone.
Greater falls were seen in the over-60s who were vaccinated first and in cities that vaccinated their populations earlier - patterns not seen in earlier lockdowns. This provides strong evidence it was the vaccine, and not just the lockdown, driving down cases.
But Prof Segal warned falls had happened more slowly than expected, possibly because of the effect of the UK variant, which has become the dominant strain in Israel.
And he cautioned that, even with the "very rapid pace" of Israel's vaccination programme, there were still tens of thousands of people who were unprotected and could become severely ill if infected.
"We still have to exit our lockdown very cautiously," he said, or risk large numbers of people being hospitalised.
Israel has been experiencing a significant wave of infection and remains under strict measures - but with everyone over the age of 16 now entitled to get vaccine, the hope is at least the education system could be reopened too.
Israel has only just also started to transfer some doses to Palestinians in the West Bank and Gaza, so that vaccinations can begin for front-line health workers.
Meanwhile it has given the full two doses to a quarter of its resident population.
![]()
Covid-19: Vaccine as good in 'real world' as in trial in Israel - BBC News
The Pfizer vaccine prevented 94% of infections in a group of 600,000 Israeli patients.www.bbc.com