- Thread starter
- #41
Uhakika wa chanjo huchukua miaka mingi. Na hiyo 94% ya uwezo wa kuthibiti, kitakwimu ya kitiba, ni ndogo sana kwa ugonjwa unaoambukiza watu wengi kwa wakati mmoja. Ina maana kuwa 6% ya waliopewa hiyo chanjo wakaamini wako vizuri wataendelea kuambukiza.
Bado bila hata ya aibu mnaendelea na hizi ngonjera za kijinga?
Hivi nyungu, maombi, bupeji, covido, sijui nimcaf, ni effective kwa % ngapi?
Achieni wataalamu wa afya hii ngoma si saizi yenu.
Kujifanya bora kwa lolote hata zaidi ya Israel ni uzwazwa uliopitiliza.
Tuoneeni huruma wazee, wenye magonjwa mengine na wafanyakazi mahospitalini.
Mikono yenu imejaa damu za wahanga wa ugonjwa huu wauaji wakubwa nyie.