Uhakika wa chanjo huchukua miaka mingi. Na hiyo 94% ya uwezo wa kuthibiti, kitakwimu ya kitiba, ni ndogo sana kwa ugonjwa unaoambukiza watu wengi kwa wakati mmoja. Ina maana kuwa 6% ya waliopewa hiyo chanjo wakaamini wako vizuri wataendelea kuambukiza.
Mkuu huoni kama sisi ndio tunajitenga na jumuiuaza kimataifa katika kukabiliana na huu ugonjwa?Linapotokea janga hasa la ugonjwa kama huu unao ambukiza kwa njia ya hewa,ni muda wa mataifa kushirikiana na kutafuta ufumbuzina wa tatizo na sio muda wakutupiana lawama,kama watu kulaumiana huu ugonjwa umeanzaje? umetoka wapi? hizi lawama zisubiri kwanza tutafute solution ya hili janga.
Nobody is safe until everyone is safe.
Ungerekebisha hapo kidogo ingekaa vizuri zaidi:Kwanini nichukie watu kufa ikiwa kifo ni mpango wa Mungu?
Mungu anatuletea wepesi wa KUFA binadamu tunaukataa sijui hata tupoje,.