Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Mimi cjaelewa Mkuu ebu fafanua vizurKila janga huja na Neema zake, poleni wote mnaouguliwa na kuuguza! Kwa sasa uhitaji wa Fumigation hauepukiki!
Maofisi yanatakiwa kuwa fumigated, mabasi, nyumba za Wageni, mahotel na kwingine.
Si kila dawa inafaa kutumika kwa fumigation, tupia uzoefu wako. Kizuri kula na nduguyo! Karibuni
Fumigation inahitajika sana kipindi hiki
Unakumbuka kashfa ya mbu wa pale Jangwani? Walipandikizwa ili waue mbu wengine? Kilichotokea wote twakijuaTungeweka nguvu hivi kwenye MBU nafikiri Malaria tungeiaga zamani sana
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahaha Dada yangu, ombi lako ni amri kwangu. HahahahaKabla ya yote kaka naona badilisha hiyo avatar yako unasababisha mpaka sisi wadogo zako tukukosee heshima.
Nimejikuta nataka kuzoom sijui nachozoom ni nini.
Hahaha Dada yangu, ombi lako ni amri kwangu. Hahahaha
DusheleleKabla ya yote kaka naona badilisha hiyo avatar yako unasababisha mpaka sisi wadogo zako tukukosee heshima.
Nimejikuta nataka kuzoom sijui nachozoom ni nini.
Hii kesi tuihamishie kuleeee huku kuna WatotoSafi.
Lakini uliwaza nini kuweka avatar kama hiyo?
Hii kesi tuihamishie kuleeee huku kuna Watoto
Bado umemuweka njia panda fumigation ndo nini?Fumigation inahitajika sana kipindi hiki
Unakumbuka kashfa ya mbu wa pale Jangwani? Walipandikizwa ili waue mbu wengine? Kilichotokea wote twakijua
Mpwa hakuna kisichowezekana chini ya jua.Hayo madhara ya kupandikiza ni njia isiyo sahihi kabisa kwani majaribio ya hivyo yanaharibu zaidi badala ya kutokomeza
Nakumbuka sana hilo na pia najua madhara yake ni kama kuweka samaki wakubwa kuwamaliza wengine
Lakini mimi naongelea kutokomeza kwa madawa ya kunyunyizia na sio vingine
Hivi tukilivalia njuga na kuweka bajeti kamili ya kupambana na hawa viumbe wadogo tunaowaona halafu kuwashirikisha mataifa yote ya Jirani na kusema enough is enough
Hatuwezi kweli
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ni fursa nzuri, ule mtaji wako uhamishie hukuSawa 🤣 🤣 🤣
Kupulizia dawa ili kuuwa wadudu wasiohitajika. Nadhani ndio hivyo
Hii ni fursa nzuri, ule mtaji wako uhamishie huku