Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level ya ujinga wa wakenya na viongozi wenu kwenye hili la kuhandle corona ni the stupidiestIla Level ya ujinga kwa baadhi ya wa Tanzania ni ya sayari tofauti!! Uelewa wa mambo ni mdogo sana kuanzia viongozi hadi mwananchi wa kawaida. Yani watu wanaenda shule ila hawaelimiki!😡
Lengo la lockdown na curfew ni ku-CONTROL maambukizi.
Unahitaji control ili idadi ya watakaougua isizidi uwezo wa hospitali zilizopo, ambayo itapelekea wengi kukosa huduma kwa wakati na kuangamia.
Mtu kuhoji ufanisi wa hatua alizochukua haimaanishi bora kutokuchukua hatua zozote kama wengi wenu mnavoashiria.
Wajinga wakubwa ninyi, hivi kwanini kila project mbayoanzisha inashindikana huko kwenu?, ni kwasababu hamna akili ya kufikiria kwa undani, SGR ni majnga kwa nchi nzima, Lamu port imekosa pesa ya kuendelea na Ujenzi, mafuta Turkana hakuna kinachoendelea, hamna akili ninyi.Ila Level ya ujinga kwa baadhi ya wa Tanzania ni ya sayari tofauti!! Uelewa wa mambo ni mdogo sana kuanzia viongozi hadi mwananchi wa kawaida. Yani watu wanaenda shule ila hawaelimiki!😡
Lengo la lockdown na curfew ni ku-CONTROL maambukizi.
Unahitaji control ili idadi ya watakaougua isizidi uwezo wa hospitali zilizopo, ambayo itapelekea wengi kukosa huduma kwa wakati na kuangamia.
Mtu kuhoji ufanisi wa hatua alizochukua haimaanishi bora kutokuchukua hatua zozote kama wengi wenu mnavoashiria.
Kinachotakiwa sio kuchukua hatua tu ,unanakiwa uchukue hatua ambayo ina manufaa yani hatua unayochukua unaangalia inasaidia ? Hivi kwa mtu mwenye akili tumamu anawezaje kufungia watu saa 1 usiku mpaka saa 12 eti unapambana na korona wakati wezenu ulaya mushawaona wao wamefunga hakuna kabisa kutoka nje kwa miezi na bado maambukizi yakawa yanaongezeka tu. Kwa mtu aliekua anafanya vitu kwa kutumia akili kwa huku afrika mashariki asingeweza kufungia watu kwa kupambana na korona tena ndani ya masaa 12 tu hao waliogundua tena wamefungia miez 3 na haijawasaidia ndio iwasaidie wanaofunga masaa 12 ? Huu ndio upumbavu wa wakenya tunaoucheka cku zote.Ila Level ya ujinga kwa baadhi ya wa Tanzania ni ya sayari tofauti!! Uelewa wa mambo ni mdogo sana kuanzia viongozi hadi mwananchi wa kawaida. Yani watu wanaenda shule ila hawaelimiki!😡
Lengo la lockdown na curfew ni ku-CONTROL maambukizi.
Unahitaji control ili idadi ya watakaougua isizidi uwezo wa hospitali zilizopo, ambayo itapelekea wengi kukosa huduma kwa wakati na kuangamia.
Mtu kuhoji ufanisi wa hatua alizochukua haimaanishi bora kutokuchukua hatua zozote kama wengi wenu mnavoashiria.
Wewe ndio zuzu mkuu! Dunia nzima wamegundua walikurupuka kufungia watu ndani,Ila Level ya ujinga kwa baadhi ya wa Tanzania ni ya sayari tofauti!! Uelewa wa mambo ni mdogo sana kuanzia viongozi hadi mwananchi wa kawaida. Yani watu wanaenda shule ila hawaelimiki!😡
Lengo la lockdown na curfew ni ku-CONTROL maambukizi.
Unahitaji control ili idadi ya watakaougua isizidi uwezo wa hospitali zilizopo, ambayo itapelekea wengi kukosa huduma kwa wakati na kuangamia.
Mtu kuhoji ufanisi wa hatua alizochukua haimaanishi bora kutokuchukua hatua zozote kama wengi wenu mnavoashiria.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂MY TAKE;" Coalition of the willings" iliyoindwa kupambana na maambukizi ya Corona yaanza kusambaratika.
=======
Tanzanians have once again praised their top leader, John Pombe Magufuli over the decisions he took when the COVID-19 pandemic was wreaking havoc in the region.
They are showering Dr. Magufuli with praises after President Yoweri Museveni hinted lifting partial lockdown and curfews to get Uganda's economy on the right path.
According to what Tanzanians are saying on social media, Dr. Magufuli's decision of not locking down Tanzania is paying off, with almost her neighbours now thinking of doing the same thing.
Tanzanians are saying other nations are pulling out a similar move in their countries after seeing Tanzania succeed by doing so.
On Monday during his 16th state address over COVID-19, Museveni said Uganda won't be on lockdown forever over the deadly virus.
He said the lockdown is negatively affecting the economy.
"However, as I told you when I last addressed the country on the 1st of June, 2020, these lockdowns cannot and should not be in force forever. They affect sections of the economy," read Museveni's written state address speech in part.
Museveni noted that he was also wondering why they had decided to ban people from operating at night over COVID-19, and yet allowed taxi drivers to do so.
![]()
He further warned Ugandans that the country was heading to a more dangerous phase where new infections are emerging within the people.
Unlike before where foreign truck drivers were said to be the main source of infection in Uganda, Museveni noted it is now emerging from within the country, with most cases turning out to be hard to trace their source.
Raila Odinga popping up on this debate
![]()
Other Tanzanians have named Kenya's Opposition Leader Raila Odinga to be among the top three of East African leaders who like resisting and opposing much.
They listed Museveni at number one and Tanzania's Opposition Leader, Mr. Mbower at number three.
Here are top comments, showing how Magufuli is getting praises.
![]()
![]()
View pictures in App save up to 80% data.![]()
Ni uongo mtupu kafwu bado ipo maduka makubwa arcade bado hazijafunguliwa boda boda marufuku shule bado zimefungwa na mipaka imefungwa bado na hajatoa mda wakufungua hayo yote mimi nilimsikiliza m7 live[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ripoti yenyewe hakuna alieielewa ikiwemo mleta mada na hata hizo comments hapo ni za Watanzania hamna waganda.
Wapi original tweet ya Museveni akiyasema haya au hat video or any other legit source?
Huu muda wa kampeni tutaona mengi...keep em coming [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Kenya pekeake mnang'ang'ania lockdown[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ripoti yenyewe hakuna alieielewa ikiwemo mleta mada na hata hizo comments hapo ni za Watanzania hamna waganda.
Wapi original tweet ya Museveni akiyasema haya au hat video or any other legit source?
Huu muda wa kampeni tutaona mengi...keep em coming [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Link ya kuwa Nchi za Africa Mashariki ispokuwa tz ziko lockdownNi Kenya pekeake mnang'ang'ania lockdown
Tanzania inaongoza Duniani? Wewe katika familia yako wamekufa wangapi kwa corona?Ikumbukwe kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee iliyopoteza watu wengi kwa vifo kwa corona ambavyo vingeweza kuzuilika.
Lazima kenya ing'ang'anie maana ndio ulic walioachiwa kutoka kwa mabwana zao mabeberuNi Kenya pekeake mnang'ang'ania lockdown
Soma kwanza tunachojadili na siyo kujiingiza kwenye mada ambayo hujui. Wewe kwa sababu mama yako hakupata corona japo anazunguka hovyo ndiyo unadhani kila sehemu ndivyo hivyo?Tanzania inaongoza Duniani? Wewe katika familia yako wamekufa wangapi kwa corona?
Wewe mama yako wanaemfuata hapo nyumbani kwenu kumbe kapata? - my condolences - may she rest in peace!Soma kwanza tunachojadili na siyo kujiingiza kwenye mada ambayo hujui. Wewe kwa sababu mama yako hakupata corona japo anazunguka hovyo ndiyo unadhani kila sehemu ndivyo hivyo?
Ungepeleka hizo rambirambi huko kwenu kwa baba yako mwenye kazi ya kuokota sabuni bafuni kwa majirani.Wewe mama yako wanaemfuata hapo nyumbani kwenu kumbe kapata? - my condolences - may she rest in peace!
Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo.
Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi.
Museveni amesema kwa sasa anajitafakari upya ili aweze kuondoa zuio la wananchi kutembea usiku.
Maendeleo hayana vyama!
Better late than never...Ikumbukwe hapa kuwa ni Rais Magufuli pekee barani Afrika aliyekataa kuwafungia wananchi ndani yaani lockdown licha ya shinikizo kubwa kutoka kwa Chadema na ACT wazalendo.
Rais Museveni wa Uganda amesema uamuzi wa kuwafungia wananchi ndani ni kuwatesa na kuuwa uchumi wa nchi.
Museveni amesema kwa sasa anajitafakari upya ili aweze kuondoa zuio la wananchi kutembea usiku.
Maendeleo hayana vyama!
Una ndugu au jirani unayemfahamu aliyekufa kwa corona?Ikumbukwe kuwa Tanzania ndiyo nchi pekee iliyopoteza watu wengi kwa vifo kwa corona ambavyo vingeweza kuzuilika.
Hizi ndizo huwa naita akili za kindezi. Unataka ku-suggest kuwa mpaka uwe na ndugu au jirani alikufa kwa korona ndiyo utaamini kuwa ipo? This is too low! Hata kina babu wa vijijini miaka ya 1920 walikuwa na ufahamu mpana kuliko huu!Una ndugu au jirani unayemfahamu aliyekufa kwa corona?