Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Sijakataa kuwa corona ipo, ila haijatuathiri kwa kiasi ambacho mnataka iaminike. Mimi ninaishi bunju, interaction ya watu kuanzia sokoni, kwenye vyombvya usafiri ni kubwa sana lakini ukipita sokoni wale akina mama wanauza vitu ila siku ni wale wale japo wana interact sana na watu, hawana bbarakoa wala sanitizer lakini hawajafa. Mtaani kwangu hakuna mtu ninayemfahamu aliyekufa. Rafiki zangu wote ninaowafahamu wawe mkoani au mitaa wilaya nyingine hakuna aliyekufa wala kuniambia ndugu yake kafa kwa corona.Hizi ndizo huwa naita akili za kindezi. Unataka ku-suggest kuwa mpaka uwe na ndugu au jirani alikufa kwa korona ndiyo utaamini kuwa ipo? This is too low! Hata kina babu wa vijijini miaka ya 1920 walikuwa na ufahamu mpana kuliko huu!
Siyo mimitu hata nikiwauliza wenzangu majibu ndiyo hayo hayo. Sasa kwa extend tuliyoambiwa corona inaua, na atua hizi ambazo ni sawa hatukuchukua hhatua lazima kwa namna moja ama nyingine hata mimi ningeshasikia effect yake hata wewe pia.
Assume ingekuwa ebola halafu tuendelee na maisha kama tunavyoendelea ni kweli maiti zingeokotwa barabarani.
hivyo kwa maihsa yalivyo, njia za magufuli zilikuwa sawa kkuliko ambavyo angetufungia ndani maana kelele za njaa na watu kufa wa njaa zingekuwa nyingi lakini sasa kelele hakuna