#COVID19 Corona: Hatimaye Rais Museveni asalimu amri, apinga ufanisi wa curfew za usiku, aungana na Magufuli

Ila Level ya ujinga kwa baadhi ya wa Tanzania ni ya sayari tofauti!! Uelewa wa mambo ni mdogo sana kuanzia viongozi hadi mwananchi wa kawaida. Yani watu wanaenda shule ila hawaelimiki!😑
Lengo la lockdown na curfew ni ku-CONTROL maambukizi.
Unahitaji control ili idadi ya watakaougua isizidi uwezo wa hospitali zilizopo, ambayo itapelekea wengi kukosa huduma kwa wakati na kuangamia.
Mtu kuhoji ufanisi wa hatua alizochukua haimaanishi bora kutokuchukua hatua zozote kama wengi wenu mnavoashiria.
 
Level ya ujinga wa wakenya na viongozi wenu kwenye hili la kuhandle corona ni the stupidiest
We handled this crisis in the smartest way, sasa unavosema eti wabongo ndio fyatu unachekesha na unataka tuflash back maujinga mmeyafanya kupambana na hii corona
 
Wajinga wakubwa ninyi, hivi kwanini kila project mbayoanzisha inashindikana huko kwenu?, ni kwasababu hamna akili ya kufikiria kwa undani, SGR ni majnga kwa nchi nzima, Lamu port imekosa pesa ya kuendelea na Ujenzi, mafuta Turkana hakuna kinachoendelea, hamna akili ninyi.

Museven amejiuliza baada ya kuona haileti maana wala haimuingii akili kama hiyo "Night curfew" inafanya kazi, hakuna tofauti yoyote kati ya nchi zilizoweka hiyo curfew ya usiku na zile ambazo hazijaweka katika kiwango cha maambuki, Linganisha Kenya yenye Curfew na Zambia isiyokua na curfew wakati idadi watu waliopimwa inalingana.
 
Kinachotakiwa sio kuchukua hatua tu ,unanakiwa uchukue hatua ambayo ina manufaa yani hatua unayochukua unaangalia inasaidia ? Hivi kwa mtu mwenye akili tumamu anawezaje kufungia watu saa 1 usiku mpaka saa 12 eti unapambana na korona wakati wezenu ulaya mushawaona wao wamefunga hakuna kabisa kutoka nje kwa miezi na bado maambukizi yakawa yanaongezeka tu. Kwa mtu aliekua anafanya vitu kwa kutumia akili kwa huku afrika mashariki asingeweza kufungia watu kwa kupambana na korona tena ndani ya masaa 12 tu hao waliogundua tena wamefungia miez 3 na haijawasaidia ndio iwasaidie wanaofunga masaa 12 ? Huu ndio upumbavu wa wakenya tunaoucheka cku zote.
 
Wewe ndio zuzu mkuu! Dunia nzima wamegundua walikurupuka kufungia watu ndani,

Kwa Museven leo hii huenda kuna hali mbaya sana ya maisha kwa raia wake ni vile tu hatujui.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ripoti yenyewe hakuna alieielewa ikiwemo mleta mada na hata hizo comments hapo ni za Watanzania hamna waganda.

Wapi original tweet ya Museveni akiyasema haya au hat video or any other legit source?

Huu muda wa kampeni tutaona mengi...keep em coming πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni uongo mtupu kafwu bado ipo maduka makubwa arcade bado hazijafunguliwa boda boda marufuku shule bado zimefungwa na mipaka imefungwa bado na hajatoa mda wakufungua hayo yote mimi nilimsikiliza m7 live
 
Ni Kenya pekeake mnang'ang'ania lockdown
 
Tanzania inaongoza Duniani? Wewe katika familia yako wamekufa wangapi kwa corona?
Soma kwanza tunachojadili na siyo kujiingiza kwenye mada ambayo hujui. Wewe kwa sababu mama yako hakupata corona japo anazunguka hovyo ndiyo unadhani kila sehemu ndivyo hivyo?
 
Soma kwanza tunachojadili na siyo kujiingiza kwenye mada ambayo hujui. Wewe kwa sababu mama yako hakupata corona japo anazunguka hovyo ndiyo unadhani kila sehemu ndivyo hivyo?
Wewe mama yako wanaemfuata hapo nyumbani kwenu kumbe kapata? - my condolences - may she rest in peace!
 
Yaani kila nchi inayofungua lockdown, TBC mnasema wanamuiga Magufuli! Wapi mliambiwa kuwa kungekuwa lockdowns mpaka mwisho wa dunia? Propaganda nyingine ni ushenzi.
 
Better late than never...
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Yeye anaona rahisi tu kuwafungia wenzake wakati yeye anapata kila kitu anachotaka.
 
Una ndugu au jirani unayemfahamu aliyekufa kwa corona?
Hizi ndizo huwa naita akili za kindezi. Unataka ku-suggest kuwa mpaka uwe na ndugu au jirani alikufa kwa korona ndiyo utaamini kuwa ipo? This is too low! Hata kina babu wa vijijini miaka ya 1920 walikuwa na ufahamu mpana kuliko huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…