Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Mkuu wameambia zimebarikiwa na Askofu Ruwichi na Padri Kitima na kuhakikishiwa zina uwezo kuzidi wa Mungu
Aisee,akili ya kawaida kabisa,I mean common sense, inaniambia kwamba kuvaa barakoa ni ku-shift your faith from God to a face mask.In fact what you are saying is,God can't protect you,but the face mask can,so you are making the face mask an idol or God.But God said you should not have other Gods except me.Kwa hiyo yaliyofanywa na hao viongozi wao wa dini ni false teaching or heresy.

This shows how important it is to read and understand the word of God yourself,instead of depending only on the so called servants of God.
 
Hii maana yake nini? Unafikiri vizuri kuhitisha kwamba raisi wangu ameanza kulekezwa kabla hatujazika? Kwani kabla ya hapo hayo mazuri ya sasa kwa nini hayakufanyika?
 
Kamanda kaweka silaha chini kaamua kusurrender hahahaha
Jafo ana saliti kambi hata Mzee hajazikwa kweli huu ni usaliti

HAKUNA WIKI YA NYUNGU TENA!! MSUKUMA ITABIDI AVUNJE NYUNGU YAKE ALIYOWAJENGEA WAPIGA KURA WAKE!
 
Chato naona barakoa zimesheheni sana leo Tar 26/March
 
Back
Top Bottom