macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Unajua hata rais Samia amejikuta kwenye wakati mgumu sana. Anaona kuwa akivaa sasa hivi itaonekana wazi kuwa alikuwa anameogopa Magufuli na sasa anajisemea ''lile shetani limeondoka ngoja nivae sasa''. Itachukuwa muda lakini corona ikiendelea kuwepo watakuja kuvaa wote.I predict after two weeks watendaji wote serikalini watavaa barakoa.