- Thread starter
- #81
Angalia hyo namba .alafu niambie namba inaongezeka au inapungua?View attachment 1732235
Takwimu zetu zinazokufanya uone tuna nafuu ziko wapi?
Unalinganisha nao kutambua kuwa sisi tumepoteza rais, makamu wa rais, mawaziri nk?
Achilia mbali Mapadre na Masista ambao RC wamekuwa na uthubutu wa kuwataja?