Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

kwa hyo hii corona ya tanzania inaua viongozi tu.?
Takwimu zetu zinazokufanya uone tuna nafuu ziko wapi?

Unalinganisha nao kutambua kuwa sisi tumepoteza rais, makamu wa rais, mawaziri nk?

Achilia mbali Mapadre na Masista ambao RC wamekuwa na uthubutu wa kuwataja?
 
kwa hyo hii corona ya tanzania inaua viongozi tu.?

Kama inaua hata viongozi maana yake ni kuwa inauwa kina yakhe wengi zaidi.

Hujasikia habari kuwa misiba imeongezeka mno uswahilini?

Kuweni na huruma na maisha ya watu.
 
Sasa mbona kawadanganya watz! yeye anavaa, watz wamejiachia

Hata hivyo ni hatua njema hatimaye katambua nyungu hailipi.

Ni muda sasa wa ku yaondoa matanuri yale ya nyungu muhimbili na mlonganzila.
 
Kila mtu atachukua tahadhari kwa njia zake.
Kwanink unaona njia za WHO NI NZURI KULIKO ZA KWETU?

Utafika wakati kutumia bakora dhidi ya wanufaika na biashara zihusuo marehemu kama wewe itakuwa ni halali.
 
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.

Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:

View attachment 1732339

Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.

Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.

Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
Kila akiwaza wale wake zake wanne na wale mahawala wake Walimu na Manesi roho inakosa uvumilivu. Ngozi tamu jiwe kaiacha
 
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.

Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:

View attachment 1732339

Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.

Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.

Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
Kipindi kile alipokua akinadi kupiga nyungu akili zake zilikuwa likizo ila sasa zimerudi....
 
Unashaanza kutengeneza mazingira ya jaffo akiwa u-VP akupe teuzi bwasheee!!

Mkuu kwangu anayetambua uwepo wa janga la Corona, kujihami na kuhami watu hata kama angekuwa shetani mwenyewe, sina taabu naye.

Sera dhidi vya Corona kwa sasa ni suala la dharura mno.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Yaani kuvaa barakoa tu ndo apewe makamu wa rais?
Acha mzaha
Hata huyu pichani alikuwa anasema hivyo hivyo.

Kwa hatua hii Jaffo anafaa kupewa u VP.

Mungu msimamie mh. Jaffo, atatuvusha.
 
Labda huko kwenu.
Kama inaua hata viongozi maana yake ni kuwa inauwa kina yakhe wengi zaidi.

Hujasikia habari kuwa misiba imeongezeka mno uswahilini?

Kuweni na huruma na maisha ya watu.
 
Yaani kuvaa barakoa tu ndo apewe makamu wa rais?
Acha mzaha

Kuwa VP, haina maana ya kupewa chei hicho kama cheo. Hicho ndiyo TAMU ya kiswahili kama titi la mama!

Kuwa VP ina maana kubwa ya kutambua utayari ya mtu kuanza mwanzo mpya.

Hata wewe ukiwa na utayari huo jombi tutakutambua pia kwa hilo.

Kumbuka tutakupongeza kwa matendo mema tokea pale utakapochukua mwelekeo huo.

Katika jamii ya wastaarabu, hapendwi wala kuchukiwa mtu, bali matendo.
 
Utakuwa umelewa
Kuwa VP, haina maana ya kupewa chei hicho kama cheo. Hicho ndiyo TAMU ya kiswahili kama titi la mama!

Kuwa VP ina maana kubwa ya kutambua utayari ya mtu kuanza mwanzo mpya.

Hata wewe ukiwa na utayari huo jombi tutakutambua pia hilo.

Kumbuka tutakupongeza kwa matendo mema tokea pale utakapochukua mwelekeo huo.

Katika jamii ya wastaarabu, hapendwi wala kuchukiwa mtu, bali matendo.
 
Mkuu, wiki mbili ni muda mrefu sana - Rais S.S.Hassan siku ya kwanza ofisini suala hili alivalie njuga kweli kweli, Baraza la mawaziri wavae barakoa wanapo kutana na Rais at all times, watumie sintiser mara kwa mara, wa maintain social distancing, wasitumie microphone moja

Akifanya hivyo tu kwa kuanzia, ategemee kuungwa mkono vilivyo na wote wakiwamo wakina johnthebaptist tokea pande za pale Lumumba.
 
Back
Top Bottom