Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Kimya kimya🎶🎶Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.
Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:
View attachment 1732220
Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.
Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.
Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.