Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

I predict after two weeks watendaji wote serikalini watavaa barakoa.
Unajua hata rais Samia amejikuta kwenye wakati mgumu sana. Anaona kuwa akivaa sasa hivi itaonekana wazi kuwa alikuwa anameogopa Magufuli na sasa anajisemea ''lile shetani limeondoka ngoja nivae sasa''. Itachukuwa muda lakini corona ikiendelea kuwepo watakuja kuvaa wote.
 
nipende kutoa pongez kwa mh jaf. nakumbuka hata mzee ahakukatza barakoa.na kama je ana mafua na anawakinga wengine??
amevaa hapo kuwakinga wengine kwa maaana alikua ana jiskia mafua mafua kwa kipindi hiki huend wanakosa usingiz kutokana na kuwa kwneye kamati ya msiba flu tu.ukiwa na flu vaa barakoa kuwakinga wenzio.
hongera mzee wa nyung
 
Na inawezekana kuwa alikuwa anajikinga na Corona kama ilivyokuwa kwa kina Kenyatta, Ramaphosa, Kikwette, Chakwera, na wengi wengine waliokuwa uwanjani pale. Au vipi?

Bila kusahau pia kuwa barakoa hazijawahi kuwa kinga ya mafua wala kuhusishwa kwenye mafua tokea enzi na enzi.

Kutambua umuhimu wa barakoa ni jambo la kupongezwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.

Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:

View attachment 1732339

Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.

Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.

Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
msiamini sanamu (barakoa) muamini mwenyezi Mungu
 
Tuachane mzaha. We
msiamini sanamu (barakoa) muamini mwenyezi Mungu

Tuacheni mzaha na ugonjwa huu. Wafuatao wanaweza kutufaa sana katika kupambana na ugonjwa huu:

1. Suleiman Jaffo mpya.
2. Prof. Mwandosya
3. Mzee Kikwette
4. Anna Mghwira
5.

Bila mabarakoa na social distancing tutegemee kurejea Uhuru Stadium na labda hata Jamhuri hivi karibuni tena.
 
Acha kujitoa akili

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
Ninyi ndio mnajitoa akili.
Jibu swali 'Ni lini na wapi Rais Magufuli alisema msivae barakoa?
Sina muda wa kubishana na wewe. Pengine kuchat ndo kazi yako kuu.

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
We pumbavu kweli!
Nilikuita unijibu?
Nani aliekwambia km humu JF tunachat?
Vitabia vyako vya kimalaya Facebook usituletee watu wazima humu.
Ebo!
 
Tuachane mzaha. We

Tuacheni mzaha na ugonjwa huu. Wafuatao wanaweza kutufaa sana katika kupambana na ugonjwa huu:

1. Suleiman Jaffo mpya.
2. Prof. Mwandosya
3. Mzee Kikwette
4. Anna Mghwira
5.

Bila mabarakoa na social distancing tutegemee kurejea Uhuru Stadium na labda hata Jamhuri hivi karibuni tena.
USITISHE WATU-HOFU NA TAHARUKI ZINAUWA KULIKO CORONA
 
Waache waendelee kuwa wabishi watapukutika kama uwele! Sayansi haidanganyi, Corona is real and it kills.
Mkuu sayansi nyingine hii hapa

Research suggests that fear about an illness and associated behavioral changes can also spread virally (Asmundson and Taylor, 2020). For example, media reports about serious contagious illnesses can lead to threat-based reactions as has been shown historically, including in reports that link mass panic about the 1665 London plague to newspaper articles, prompting officials to shut down printing presses (Defoe, 2016). Similarly, consumption of media reports about more recent pandemic illness outbreaks has also been associated with anxiety symptoms (Xie et al., 2011; Tausczik et al., 2012). The mechanisms by which media reports lead to anxiety and other emotional reactions to a pandemic require further study. In particular, work is needed to determine which factors predispose certain individuals to experience these symptoms. One potential factor that has not received sufficient empirical attention is the construct of emotion contagion.

source
 
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.

Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:

View attachment 1732339

Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.

Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.

Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
Akili zinawarudia mdogo mdogo
 
Tabora" mheshimiwa Rais nyungu kama kawaida na Jumatatu tunaaanza phase three kwa siku saba". Huyu ndiye Selemani Said Jafo akiyejaa wingi wa msamiati mdomoni lakini vitendo vichache. Hatutakiwi kupambana na kupingana na dunia bali kusikilizana na kushauriana nayo.
Mzalamo halisi alimsuta Mangi hadi akapoteza fahamu,
 
Back
Top Bottom