Aisee,akili ya kawaida kabisa,I mean common sense, inaniambia kwamba kuvaa barakoa ni ku-shift your faith from God to a face mask.In fact what you are saying is,God can't protect you,but the face mask can,so you are making the face mask an idol or God.But God said you should not have other Gods except me.Kwa hiyo yaliyofanywa na hao viongozi wao wa dini ni false teaching or heresy.Mkuu wameambia zimebarikiwa na Askofu Ruwichi na Padri Kitima na kuhakikishiwa zina uwezo kuzidi wa Mungu
Hakuna jipya hapo! Wala yeye siyo wa kwanza kuvaa hayo matambala!! Ila tusipangiane!!
Kamanda kaweka silaha chini kaamua kusurrender hahahaha
Jafo ana saliti kambi hata Mzee hajazikwa kweli huu ni usaliti
Tz ukishakata Roho ndo basi tenaWashaanza Unafiki bado hata hatujazika?
Hongera wewe utabaki!Waache waendelee kuwa wabishi watapukutika kama uwele! Sayansi haidanganyi, Corona is real and it kills.
Hao ndio CCM halisi. Full unafiki kiwango cha SGR.Kamanda kaweka silaha chini kaamua kusurrender hahahaha
Jafo ana saliti kambi hata Mzee hajazikwa kweli huu ni usaliti