Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Tunataka iseme ukweli. Kwamba wananchi wachukue tahadhari kwa kuwa mdudu yupo na serikali haina mpango wa kuweka mambo ya lockdown. Sasa serikali inaposema haipo kuna vichwa panzi vinaamini hivyo... havichukui tahadhari basi inakuwa tabu tupu.Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua Kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe .
Tangaza mdudu yupo na hakuna lockdown wala chanjo ya mabeberu... Baaas watu wachape kazi kwa tahadhari.