Tunataka iseme ukweli. Kwamba wananchi wachukue tahadhari kwa kuwa mdudu yupo na serikali haina mpango wa kuweka mambo ya lockdown. Sasa serikali inaposema haipo kuna vichwa panzi vinaamini hivyo... havichukui tahadhari basi inakuwa tabu tupu.Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua Kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe .
sasa ww nani anailazimisha serikali iseme? nani amesema anataka lockdown?Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua Kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe .
Adhibiti vipi mikusanyiko? Yaani tusiende kariakoo kununua bidhaa? Tusipande daladala? Tupande gari ya baba yako? Kwanza analo ?
Suala ka kujikinga ni la mtu binafsi, mbona kondomu unavaa? Uliwahi kuvalishwa? Kila mtu achukue hatua zake mwenyewe, serikali inajia maisha ya watanzania.. ikichukua hatua za lockdown na kudhibiti mikusanyiko watu wataishije? Niambie ni wapi walichukua hizo hatua na wakafanikiwa. Ukijibu haya maswali utaheshimika. Lakini ukishindwa utakua mpumbavu kama walivyo wapumbavu wengine
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Sasa Daktari wa JF tupe dawa yako kama hizo hazifai.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Nilijua tu msomi uchwara utakimbia hoja. Pole sana, kunywa maji mengi na usisahau kujifukiza,
Mkuu huyo jamaa ana matatizo ya akili au ya kisaikolojia. Huu upumbavu wake aliuanza mwaka jana mwezi wa nne akililia lockdown. Mpaka leo haelewi alikuwa analilia upuuzi. Sasa hivi anaiwaza Corona 24/7, kama ni mwanamke nina wasiwasi ana mimba. Tumuombee pepo la kuiwaza CORONA masaa yote limtoke.Napata hisia utakuwa mdau kwenye hii sekta ya afya.
Sasa unahitaji fursa ya kupiga pesa kupitia corona.
Kila ukiamka wewe na corona tu, umekaa kuwatisha watu.
Hii ni vita nasi tumeamua kupambana na ugonjwa huu kwa namna tunayoona sisi inafaa, sio tupangiwe na hao mabosi wenu.
Mwisho ANZISHA GAZETI LAKO LIITE CORONA HUU UWANJA WA JF HAUKUTOSHI.
🤣🤣corona ipo duniani kote ila sisi tumejiongeza tu ili isije ikaingia hapa nchini kwetu😂😅Kwahiyo UDSM wameamua kupingana na wizara ya afya? Naibu waziri kasema hakuna Corona Tanzania.
Naona sasa inaibuka vita ya wanasiasa na wataalam.
Kwahiyo mambo yaendelee kuwa sasa tu ila watu wachukue tahadhari?Tunataka iseme ukweli. Kwamba wananchi wachukue tahadhari kwa kuwa mdudu yupo na serikali haina mpango wa kuweka mambo ya lockdown. Sasa serikali inaposema haipo kuna vichwa panzi vinaamini hivyo... havichukui tahadhari basi inakuwa tabu tupu.
Tangaza mdudu yupo na hakuna lockdown wala chanjo ya mabeberu... Baaas watu wachape kazi kwa tahadhari.
Kipindi cha kampeni aliacha kwanza akawa bize na mikutano ya kampeni ila baada ya uchaguzi kuisha ndio karudi tena,wenyewe wanaamini kipindi kile cha kampeni corona ilipungua.Mkuu huyo jamaa ana matatizo ya akili au ya kisaikolojia. Huu upumbavu wake aliuanza mwaka jana mwezi wa nne akililia lockdown. Mpaka leo haelewi alikuwa analilia upuuzi. Sasa hivi anaiwaza Corona 24/7, kama ni mwanamke nina wasiwasi ana mimba. Tumuombee pepo la kuiwaza CORONA masaa yote limtoke.
Maamuzi ya serikali ni kama Mwanaume aliyefumaniwa hivi. Anakataa! Maana anajua gharama za kukubali fumanizi!Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe.
Tatizo hakuna mwenye kutaka ule usumbufu unaopatikana mnapopambana na hii corona,watu wanaona usumbufu wanaoupata majirani zetu kama kuzuia baadhi ya mambo ambayo mengine yanagusa ajira za watu mfano kenya wasanii wao hao mapambano ya coro imewaathiri kazi zao, Wenzet Uganda ndio wanataka kufungulia shule ila sie kitambo tu tumefungua mashule toka mwaka jana.Ningewapongeza zaidi kama wangefunga chuo kwa mda mpaka pale itakapojiridhisha kuwa tuko salama kama nchi vinginevyo bado siwaelewi kama taasisi kuu ya wasomi kutoa vipeperushi vya kiwoga woga kama hichi.
Kwa nini akili zako hazina uchanya? Kwani serikali ikitangaza kuna korona lazima lockdown iwepo? Mbona vyandarua tunapewa bure kwa nini isiwe chanjo?Hivi mnaotaka Serikali iseme kuna CORONA mnaotaka iweje?baadhi wanataka Serikali ikiri na kuchukua hatua kali km lockdown na tuletewe misaada/kukopeshwa chanjo.Hatua ya Serikali kutokukir ni bora zaid.KAMA mtu anataka Karantin ajiweke mwenyewe.
Kwahiyo UDSM wameamua kupingana na wizara ya afya? Naibu waziri kasema hakuna Corona Tanzania.
Naona sasa inaibuka vita ya wanasiasa na wataalam.
Sisi raia wema na wapenzi wasikilizaji tunaendelea kuufanyia kazi ushauri wa Rais Mstaafu JK..."Akili za kuambiwa, changanya na zako"
Napata hisia utakuwa mdau kwenye hii sekta ya afya.
Sasa unahitaji fursa ya kupiga pesa kupitia corona.
Kila ukiamka wewe na corona tu, umekaa kuwatisha watu.
Hii ni vita nasi tumeamua kupambana na ugonjwa huu kwa namna tunayoona sisi inafaa, sio tupangiwe na hao mabosi wenu.
Mwisho ANZISHA GAZETI LAKO LIITE CORONA HUU UWANJA WA JF HAUKUTOSHI.
Ile dawa Gwajima aloizindua inatibu tezi dume?Kwahiyo UDSM wameamua kupingana na wizara ya afya? Naibu waziri kasema hakuna Corona Tanzania.
Naona sasa inaibuka vita ya wanasiasa na wataalam.
Sisi raia wema na wapenzi wasikilizaji tunaendelea kuufanyia kazi ushauri wa Rais Mstaafu JK..."Akili za kuambiwa, changanya na zako"
Ile dawa Gwajima aloizindua inatibu tezi dume?