Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Kule twitter wameanza tena ile tabia ya kuiombea mabaya Tanzania,
Kuna huyu kazi yake ni kueneza uwongo kuhusu Tz utafikiri hatawahi kuvuka boda kuingia Tanzania,
Hivi muafrika unafaidika na nini kueneza uwongo kuhusu nchi nyingine ya Africa?
Baada ya viongozi wa kenya na wajinga wengine kuona kuwa Tanzania imefanikiwa pakubwa kwenye hili janga bila kuumiza raia yoyote kwa kutumia njia za kucopy zisizo endana na mazingira ya Africa yaani kafyu na aina yoyote ya lockdown wameanza kueneza uwongo kwa kusema eti mambo ni mabaya sana Tz,
Ila kuna baadhi ya wakenya wanaishi Tanzania ni mashahidi kuwa Tanzania ni shwari kabisa,
Wakenya wameumbwa kichuki chuki,wenyewe kwa wenyewe wanachukiana hatari,tusitegemee zuri lolote kutoka kwa jirani wa aina ile,Tanzania tumepakana na nchi 8 lakini kila leo ni kenya tu ndio awaishi kutuongelea mabaya,stupidy kunyan