Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

Corona: Huu ndio ukweli kwanini Kenya inaiombea mabaya Tanzania

Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
Nyinyi Wakenya wivu wa kike utawaua,bado tu hamwamini.na habari za chini ya kapet ni kwamba,TZ imekataa maombi yore ya Kenya kwenye mazungumzo huko mpakani,ngoja tuone.
 
Kutokuwa nayo ..mnapata stress...mnataka hii nchi ya Asali na maziwa...Hata viongozi wenu wanaimiza haswa shirikisho la Afrika mashariki free border...lkn sisi ni bora tuungane na Somalia lkn sio nyie watu wa Matamaa na Ukabila.
ha ha ha, tuna mashamba ya kulima pia , hata ukitaka kununua yapo mengi zaidi..

Mnajidanganya kuna mtu anataka nchi yenu ... Wakenya hukumbuka nchi ya Tanzania Wakiona ujinga wa Magufuli mitandaoni
 
Serikali yako imewashika wengi kimawazo, kama health officials hawawezi tangaza their findings wadaku wa mitandao kama wewe mtapata wapi ya ku post apart from selected positives za tz?, kisha serikali imewaamimisha eti testing ni ovyo kupitia kupima ma paipai na petroli (pedestrian reasoning, unscientific), so wengi mumekaa kizombie tu, can't think outside the box. Ndio maana wewe mtazamo wako ni ule ule wenye ccm has propagated, see your life now![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanifurahisha sana, yaani mtu mzima anaeza kua fooled hivi kirahisi![emoji23][emoji23]
Mbona CCM inakuuma sana?FYI,CCM ni chama kinachojumuisha watu wa matabaka yore bila kujali ukabila,udini,rangi n.k,huko kwenu Jubilee ni ya wakikuyu na kalenjin tu.mtu kuwa na chama sio dhambi hpa TZ kama ilivyo huko kwenu.
 
Unajua serikali yao imefeli pakubwa kwenye haya mapambano ndio maana sasa hivi wanatumia nguvu nyingi kueneza uwongo kuhusu Tz ili wananchi wao waone mambo ni mabaya Tanzania maana wakenya wengi wameanza kuona Tanzania imefanikiwa pakubwa bila kuumiza raia yoyote.
Njia waliyotumia wamefeli,na huku deni la taifa lao likiongezeka kwa mikopo waliochukua eti kupambana na corona,sasa wakiangalia the way tuliyochukua na huku tukikataa mikopo,wanataka kutuprove wrong kwa kuwaaminisha raia wao ya kuwa wao wako sahihi,ila kimoyoni wanajua walikosea,nyang'au wamebrainwash ya kuwa na wao ni wazungu
 
Haitangazwi, lakini pia mbona hatuioni hiyo misiba mitaani kwetu? Kama vifo vinatokea kama ilivyokuwa kabla ya Corona.

I believe corona ipo na watu wengi wapo exposed lakini ndo hivyo imeshakuwa kama nyuki wa mashineni.
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.
 
Propaganda ni nini?
Embu nipe maana ya neno propaganda,

Hivi si ni wakenya pamoja na viongozi wenu ndio wanaeneza propaganda kuwa mambo ni mabaya Tanzania?
Propaganda kibongo bongo ni kuikosoa serikali ya ccm hata km unasema ukwel
 
Njia waliyotumia wamefeli,na huku deni la taifa lao likiongezeka kwa mikopo waliochukua eti kupambana na corona,sasa wakiangalia the way tuliyochukua na huku tukikataa mikopo,wanataka kutuprove wrong kwa kuwaaminisha raia wao ya kuwa wao wako sahihi,ila kimoyoni wanajua walikosea,nyang'au wamebrainwash ya kuwa na wao ni wazungu
Ndio maana wanatumia nguvu kubwa ikiwemo hata kulipa bloggers wao kwa ajili ya kueneza uwongo kuhusu Tz [emoji23] ili wananchi wao waone mambo ni mabaya Tanzania kumbe ni shwari tu.
 
Ndio maana wanatumia nguvu kubwa ikiwemo hata kulipa bloggers wao kwa ajili ya kueneza uwongo kuhusu Tz [emoji23]
Nguvu wanayotumia kutuchafua ni katika kuficha aibu yao,kwa vile kila mmojawetu alivyochukulia mapambano ya corona,mungiki they are looser kwenye hii battle,so wanachokifanya ni kuwaaminisha mazoba wao kama wao ndio wako sahihi huku ukweli wakiujua
 
Tayari jiwe keshchora formation tamu kabisa, "sio lazima kumpima corona mtu aliyekufa"
 
Sasa nadhani unazungumza toka katika kichwa chako, huna ushahidi wowote wa kuweza kufunga mkono hoja zako.

Mara baada ya huu ugonjwa kuingia, uliona jinsi wabunge na watangazaji wa TBC na wakuu wa wilaya walivyokufa haraka haraka, na vifo vyao vilitangzwa, ina maana bado wabunge wanakufa lakini hawatangazwi?, bado watangazaji na watu wengine mashuhuri pamoja na viongozi wanaendelea kufa lakini hawatangazwi?, wewe mtaani kwenu wamekufa wangapi?.

Wacha kufikiria vitu bila kutumia akili. Jinsi Tanzania tunavyojiachia bila kuchukua tahadhari, tayari nyumba na familia zingekuwa zimepukutika, na enzi hizi za mitandao ya Kijamii, huwezi ficha vifo vya vingi. Kelele za wapinzani hakuna mtu angeweza kuzizuia.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Tayari jiwe keshchora formation tamu kabisa, "sio lazima kumpima corona mtu aliyekufa"
 
Stop quoting quote zangu sitaki shobo za wenye akili fupi.
Lazima niwachome[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Km hutaki usi comment kenyan section, as long mtanzania ata comment hku, nikiwa na dose yake namquote ili imfikie
 
Hahaha! Hongereni majirani baada ya WB na IMF kuwapa mkopo,naona EU imewapa msaada mwingine wa Ksh.7.8 billion ili mwendelee kutangaza idadi!
Endelea kuona tu hku ukijitia upofu na kuijifanya huzioni formation za jiwe
 
Lazima niwachome[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Km hutaki usi comment kenyan section, as long mtanzania ata comment hku, nikiwa na dose yake namquote ili imfikie
TZ forum, kama vp,ondoka!
 
Anayefikiria tunafanya vizuri kuliko Kenya anajidanganya, watz wanakufa kimya kimya tu sema haitangazwi, serikali haina muda huo wao washaamua liwalo na liwe. Wanaopata haka kaugonjwa na kufa wapo wengi tu, wapo wengi zaidi wanaopona. Tungekua tuna vipimo kama Kenya ungeona namba zetu ambavyo zingekua juu.

Umezika ndugu zako wangapi kwa corona? Acha kushabikia ukibwengo wa wakenya, wakenya siku zote ni mapimbi tu
 
Back
Top Bottom