Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,438
Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka mitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinaweza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kushindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaahirisha tarehe ya mtihani