Corona ilimalizika kisiasa Tanzania na inaweza kurudi kisiasa

Corona ilimalizika kisiasa Tanzania na inaweza kurudi kisiasa

Ila ukweli kabisa Lissu hatapata hata nusu ya kura za Lowassa. Wabunge wa Chadema hawatazidi watano. Kama uamini mimi na save hii comments halafu tarehe 5 November nitakukumbusha

Una maana tume tayari mlishafikia uamuzi apate kura ngapi ba CHADEMA wabunge wasizidi wangapi?

Kama wewe siyo tume jitambulishe basi angalau tujue kama wewe ni yule Tito wa lile dhehebu?
 
Mkuu, unaweza kumshangaa mtanzania, Yani Kuna ambaye ni wakisema wenzangu hiyo Ni kweli, sijui Kama wapinzani wanafahamu wanapinga Nini.
Hao sio wapingaji bali wameshatengeneza chuki kabisa na ndiyo inayowapeleka hovyo na kufanya kushindwa kueleweka.
 
Mkuu, unaweza kumshangaa mtanzania, Yani Kuna ambaye ni wakisema wenzangu hiyo Ni kweli, sijui Kama wapinzani wanafahamu wanapinga Nini.
kwakweli siasa ni opium ya ubongo yani logic inapotea kabisa na bahati mbaya muanzisha thread yuko kwenye huduma ya afya anajua haya mambo
 
Hizi ni chuki dhidi ya Tanzania, wala si dhidi ya watawala. Vyama vya upinzani Vina shida kubwa sana juu ya misimamo yao. Jipangeni upya kwenye hoja
 
Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka mitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.

Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.

Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinaweza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.

Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kushindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaahirisha tarehe ya mtihani
Inadhihirisha upeo finyu wa wafuasi wa mtu yule! Huko ulaya na Afrika amerudia mara kadhaa corona inaitesa Tz. Wafuasi wake hapa Tz waliungana nae kusisitiza corona inaitesa TZ! Tunamuona na wafuasi wake hapa Tz kwenye mikusanyiko hawana protection ya aina yoyote, sio barakoa wala social distancing! Toweni msimamo wenu watu wawaelewe.
 
Back
Top Bottom