Ila ukweli kabisa Lissu hatapata hata nusu ya kura za Lowassa. Wabunge wa Chadema hawatazidi watano. Kama uamini mimi na save hii comments halafu tarehe 5 November nitakukumbushaCCM hawana hali ndugu. AnayofanyavLissu huko mikoani wanatamani mitandao izimwe.
Kuna Kada wao humu jamvini yaaani asipoleta uzi wa Lissu basi kaleta uzi wa Corona. Anaitwa Nyani Ngabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna makada wao humu kutwa kucha kusema Lissu hapati hata 20% ya kura ila hawalali hawapoi ni kumuwaza Lissu tu!
Mbaya kinachowatisha Mataga na Lumumba ni kuwa Lissu anakubaliwa mpaka na Mataga na wana Lumumba. Ni hatareeee!!!
Utakuja kukana maneno yako. Subiri uone yanayoenda tokea hapo October ndugu. Ya Malawi yanaenda kufanyika Tanzania. Amini amini nakwambia. Lissu si wa kawaida!!Ila ukwe kaabisa Lissu hatapata hata nusu ya kura za lowassa. Wabunge wa chadema hawatazidi watano. km uamini mm na save hii comments alafu tarehe 5November nitakukumbusaha
Akili yako ndogo sana. Yaan Kaafikiria uangalie utofauti mkubwa sana kati ya Lowassa na Tundu Lissu. Amini nakuambia tundu lisuu hatweza hata kupata mawabunge zaid ya watano. Huo ndio ukwel kwanza hao wabunge itakuwa kwa jitihada zao wenyewe na wala si tundu lissu. Nyota ya Lowasa ilikuwa juu sana mara mia ya Tundu lissuUtakuja kukana maneno yako. Subiri uone yanayoenda tokea hapo October ndugu. Ya Malawi yanaenda kufanyika Tanzania. Amini amini nakwambia. Lissu si wa kawaida!!
Nashauri mtie hii hoja ya chadema kuvuna kura. Ni mtaji mzuri sanaMsafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka nitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinawwza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kyshindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaarisha tarehe ya mtihani.
Sasa ndugu yangu kama wewe mwenyewe ulikuwa kinara wa kupinga kuwa Coona haijakwisha Tanzania.Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka nitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinawwza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kyshindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaarisha tarehe ya mtihani.
Kuna muda ni ngumu kuelewa watanzania, WAnachadema wengi mlikuwa mnasema kuna corona, kuna vifo serikali inaficha. Leo hata misafara ya Lissu na wengine wote waliokuwa wanasema hivyo hawazingatii waliyokuwa wanasema hawavai barakoa, hawaachi nafasi wanaleta mikusanyiko ikiwa ina maana nao wamekubari kuwa hakuna tishio la corona. Sasa manabadiri gia kuwa serikali itairudisha kisiasa, mbona hamsomeki?Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka nitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinawwza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kyshindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaarisha tarehe ya mtihani.
Mgombea wenu ameshachuja tayari anaongea maneno ya kawaida sana yanampunguzia umaarufu wake badala ya kumuongezea binafsi nilikuwa namhofia lkn anaongeaaa puuuumba utadhani ndizo atakazowafanyia wananchi akipata 5% ya kura zote akatambikeMsafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka nitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinawwza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kyshindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaarisha tarehe ya mtihani.
Unapoenda Msibani Kama msidikizaji, Unaweza ukawa unaona kwako ni sherehe, kumbe wengine wapo katika majonzi, Si rahisi kuamini kuwa una udhaifu mwingi hadi uambiwe na wanaokuzunguka.Msafara wa Tundu Lissu unazua tafrani kwa watawala wetu. Lissu harembi anaongea ukweli wa mambo yalivyo. Yale tuliofundwa kwa miaka nitano kuwa ni mwiko kuyaongea Lissu anayasema hadharani.
Ili kuzuia harakati za Tundu Lissu, tunaweza kutangaziwa corona imerudi na tunatakiwa kuwa kwenye lock down. Kuna uwezekano pia wa uchaguzi kuahirishwa.
Mungu aliyetuondolea corona anaweza muda wowote kuirudisha. Maabara zinawwza kuambiwa kuanza kupima na matokeo yakatoka kuwa tuko katika hali mbaya.
Utafanya nini unapoona Kuna kila dalili za kyshindwa mtihani, unaweza kupata cheti cha ugonjwa ukaarisha tarehe ya mtihani.
Mkuu, unaweza kumshangaa mtanzania, Yani Kuna ambaye ni wakisema wenzangu hiyo Ni kweli, sijui Kama wapinzani wanafahamu wanapinga Nini.Kuna muda ni ngumu kuelewa watanzania, WAnachadema wengi mlikuwa mnasema kuna corona, kuna vifo serikali inaficha. Leo hata misafara ya Lissu na wengine wote waliokuwa wanasema hivyo hawazingatii waliyokuwa wanasema hawavai barakoa, hawaachi nafasi wanaleta mikusanyiko ikiwa ina maana nao wamekubari kuwa hakuna tishio la corona. Sasa manabadiri gia kuwa serikali itairudisha kisiasa, mbona hamsomeki?