Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,503
Reaction score
20,892
Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19.

Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu

Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na uzuiaji wa kuuza pombe kwa mara nyingine tena na hii itaenda mpaka angalau January 2021.

Is the situation this serious au huu ni mpango mkakati wa viongozi wa sasa kupiga hela ndefu ili Rais ajaye akutane na deni zito??

AA1C9664-5098-4E37-BA01-3788E9525EE3.jpeg
 
Angeenda kuomba msaada angeeleweka zaidi lakini wazungu wanamshangaa jirani yake kaweza yeye kinamshinda nini
 
Manyangau hawa wanaongeza idadi ya maiti na majeneza kwa uroho wa pesa
 
Back
Top Bottom