Corona imekuja kuumbua uongo wa dini


Athari za mungu kwenye maisha unazijuaje?

Unaelewa kua mungu mjuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote hapaswi kuthibitishwa wala watu kudai ushahidi juu ya uwepo wake?

It's Scars
 
Wiki hii watu wa sheria na mahakama mnaandika visivyoeleweka humu jukwaani, alianza jaji mfawidhi kutoa pumba umekuja wewe hakimu mfawidhi. Au wewe ndio jaji mfawidhi pia? Kama sie wewe basi
 
Mi sifungamani na imani

Wewe kama unawaamini wanasayansi mimi niko kinyume kwa kuikubali sayansi na wanasayansi kupitia tafiti zake ambazo zinathibitishika

It's Scars
Kuamini ni kukubali maana huwezi kuamini usichokikubali,mfano wewe hapo hukubali kuwa kuna Mungu huwezi tena kutuambia hukubali Mungu ila unaamini Mungu.

Wewe hufanyi tafiti za kisayansi ila wanasayansi wakija na kukuambia kitu unakubali,kwanini? Sababu unawaamini.
Unaenda hospitali wanakupima unaambiwa Doctor anakwambia una malaria unakubali unakubali anakupa dawa unaenda kumeza bila kumbishia,kwanini? Unamuamini?
 
Yaani unapima uwezo wa Mungu kwa reference ya Gwajima na Rwakatare? Try to be serious Nigga!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaandika hivi haya myaonayo sasa ya kuabudu, kuamini kuwa kuna ulimwengu wa kiroho mara Mungu na mpinzani wake shetani,hapo baadae vizazi vijavyo watakuja kusoma hiyo historia huku wakitucheka! Watakuja kufundishwa jinsi tulivyokuwa wapuuzi tukiamini hayo mambo...
Dini ni project zilizoshiba na zinatusua fedha haswa kwa wakuu wanaohodhi hayo mambo,wanaoamini hawawezi kuelewa maana ndio washatekwa akili,wao wanajiona ni watumishi wa Mungu kumbe ni wateja wa watu fulani fulani😂
Mungu wanavyomfikiria sivyo alivyo!!
Wenyewe waendelee kupiga sala tu but wajue wanafanya kazi ya bure!!
Haya nilioandika wataona nimekufuru ati mimi nimejawa na ushetani na wakati huohuo wanaamini Mungu aliumba kila kitu it means na shetani aliumbwa na Mungu sasa linapokuja swala la tabia mbaya za shetani wanasema muanzilishi ni shetani!! Wakati shetani nae aliyakuta mambo hakuna tabia ambayo shetani kaianzisha bila kuirithi kwamaana Hakuna ambacho hakijatoka kwa baba!!😂
Mungu wamemvesha joho la tabia nzuri tu sasa sijui mbaya zilitoka wapi maana yeye ndo muanzilishi wa kila kitu!!

Hakuna cha Mungu wamaombia atakusaidia sahau maana maisha ni uhalisia na sio maombi.
 

Kuna tofauti kati ya kukubali kwa facts baada ya kuthibitishiwa na kukubali bila kitu bila uthibitisho wowote

Unaweza kufanya nimkubali mungu kwa uthibitisho wenye facts?

It's Scars
 
Athari za mungu kwenye maisha unazijuaje?

Unaelewa kua mungu mjuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote hapaswi kuthibitishwa wala watu kudai ushahidi juu ya uwepo wake?

It's Scars
Hivi ukiacha masuala ya movie,habari za spiderman utaziongelea wapi tena nje ya movie? Ila kuna watu mfumo wao wa maisha umeathiriwa na suala la Mungu,uelewa wao kuhusu dunia umeathiriwa na suala la Mungu.

Unafananisha vp na suala la spiderma?
 
Mbona haujafikiri kwanini unakufa? Yaani unakufa ili iwe nini? Mbona haujafikiri hicho kiumbe kinachoitwa corona kimetengenezwa na nani ili kifanye nini duniani. Uwe unafikiri bila boksi siyo nje ya boksi. Hivi umewahi kujiuliza nini kinachotoa amri Kwa vidole vyako vianze kutype huo Ujinga ulioandika? Hicho kinachotoa Amri nani kakitengeneza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona haujafikiri kwanini unakufa? Yaani unakufa ili iwe nini? Mbona haujafikiri hicho kiumbe kinachoitwa corona kimetengenezwa na nani ili kifanye nini duniani. Uwe unafikiri bila boksi siyo nje ya boksi. Hivi umewahi kujiuliza nini kinachotoa amri Kwa vidole vyako vianze kutype huo Ujinga ulioandika? Hicho kinachotoa Amri nani kakitengeneza?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tofauti kati ya kukubali kwa facts baada ya kuthibitishiwa na kukubali bila kitu bila uthibitisho wowote

Unaweza kufanya nimkubali mungu kwa uthibitisho wenye facts?

It's Scars
Watu wanapoenda hospitali kupima na kupewa majibu ni sababu gani inayowafanya kukubali hayo majibu?
 
Kuna kuomba na kuomba kwa imani...know the difference

Wenye imani watabaki kuamini imani ina/itawaponya
Kwa hiyo pale Vatican wanapopukutika kama nzige hakuna padri au kadinali mwenye imani pale?
 
Viongozi wa dini wenyewe ndio hawa kina gwajima walaza watu kifo cha mende? Ndio hawa wazee wa upako mnywa gambe konyagi? Ndio hawa kina mwingira wazaa na wake za watu?
 
Wewe Mungu umemjulia mwenzetu? Maana wengi wetu tumezalia na kukuta dini na ndiyo tumemjulia Mungu huko,je wewe hivyo umjuavyo wewe ulimjulia wapi?
 
Hiyo maana yako wewe ya neno "dini" ni ya kijinga kupita mfano.

Kumbe huwa mnajiandikia vitu hata maana ya hicho mnachoandika hamuelewi.

"shehe" ndiyo nini?
 
Mada haiwezi kumalizwa kwa kukimbia maswali, nakukumbusha mara ya mwisho umekimbia kwa kuandika "poa" na hii ndiyo slogan yako pindi ukikutana na maswali magumu
Nilikujibu "Poa" kwa kuwa nilikupuuza, haiwezekani unajibiwa maswali kisha unarudia kile kile ulichojibiwa, nikaona napoteza muda.

Sasa nimerudi baada ya kuona unajinadi kwamba hujajibiwa maswali yako. Huku ni kujidanganya kwa wazi kabisa.
Nilikupa option ya kuwauliza masheikh endapo hutaweza kuya handle maswali yangu, nadhani ujio wako wa saizi ni muendelezo wa yale maswali ambayo uliyaweka kiporo

Sasa vipi nikawaulize "Masheikh" wakati jambo dogo sana hilo na nimeshalimaliza, kufanya hivyo nikuwakosea adabu "Masheikh".

Sababu umeona UONGO ni sifa yenye kupendeza. Nasema hivi : "KAMA KUNA SWALI HATA MOJA SIJAJIBU ONYESHA, UKIONYESHA SWALI HILO, NAACHA KUTUKIA HII ID". Hatulei wajinga na watu WAONGO.
Haya sasa tuambie masheikh wamesemaje juu ya hayo maswali?
Onyesha swali ambalo sijakujibu.
 
Hizi sio zama za kuamini, hizi ni zama za kujua

Imani ingekua ni njia sahihi ya kujua ukweli wa jambo basi dini ingekua moja

Au kila Miungu inayoabudiwa na dini yeyote ingekua niya kweli endapo tu watatumia imani kuabudu


It's Scars
Nani katangaza hizo zama? Kwa ufahamu wako finyu unadhani hizi hoja dhaifu zimeanza na wewe mwenye uelewa MKUBWA!? Do yourself a favour, nenda kasome hisstoria kwanza usijejiona una hekima kuliko waliotangulia. Hoja zako ni dhaifu mno na hazifikirishi. Ndii maana sihangaiki hata kujibu

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…