Wangepewa options kutokana na mifuko yao, Kariakoo zipo hotel za 25,000Wanafikiri kila anaetoka nje amekuja na pesa? Yaleyale wakati mdogo niko Kijijini nilifikiri kila mtu anaetoka mjini anapesa ata kama ni mwanafunzi katoka bweni.......Tunaongozwa na washamba
Hapo umekusanya hela kwa kufagia Mall miaka miwili na lengo ni ujenzi leo unaaziacha Peacock HotelDuuuh kukaa Dar southern Sands au Peacock hotel kwa siku 14 sio mchezo.Wazungu wenyewe wanaofikia hapo wengi wao wanakuwa wamelipiwa na kampuni zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi. Kama hawawezi kujigharamia WASIJE.Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands
Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
Hahahaaaa. Nyani Ngabu ameshawasili?Hapo umekusanya hela kwa kufagia Mall miaka miwili na lengo ni ujenzi leo unaaziacha Peacock Hotel
Wasije wakati washatua...Safi. Kama hawawezi kujigharamia WASIJE.
Ni ya mmiliki wa mabus ya rungwe expressHiyo Rungwe ni ya mzee Hashim Spunda au ile ya Silver manka?
Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands
Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
Kwenye uhalisia ukisha nunua ticket wengine wanarudi home na $200 mfukoni.Unaweza kwenda ulaya kutumia ndege ,ushinde kulipia hotel siku 14 bongo?,acha masihara,
Unatakaje?
Hivi list hii ipo published mahali popote (website, official letter etc..) kwa potential passengers wasome na kujipanga kabla ya kuja?Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands
Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
Duh and you are a Dr?! Kwamba wachague tu mimi Kariakoo mwingine Machi Machi guest house kinondoni sio?Wangepewa options kutokana na mifuko yao, Kariakoo zipo hotel za 25,000
Hawa sio wagonjwa. Siku 14 usipoonesha dalili unaenda nyumbani.Kwanini wasiwapeleke mwaisela au mloganzila?
1. I’m not a doctorDuh and you are a Dr?! Kwamba wachague tu mimi Kariakoo mwingine Machi Machi guest house kinondoni sio?
Waliambiwa ukija huku unakaa karantini siku 14 kwa gharama zako. Wangebaki huko huko wangeokoa nauli yao na wangekaa hotel za $5