Corona imekuwa mradi wa Serikali au Mradi wa watu? Wanaowekwa karantini walalamikia bei kubwa ya hoteli wanazopelekwa

Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands

Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
Safi. Kama hawawezi kujigharamia WASIJE.
 
Unaweza kwenda ulaya kutumia ndege ,ushinde kulipia hotel siku 14 bongo?,acha masihara,
Unatakaje?
Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands

Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
 
Nchi ya kusadikika watu washaona fursa , wengi wataumia vipi na kule mloganzira, au ndiyo ilikuwa kuuza sura kila mtu aonekane msemaji wa Corona.
 
Hoteli wanazo takiwa kukaa wanaoingia nchini kwa siku kumi na nne ni:
Rungwe
Peacock Hotel
Dar Palace na Southern Sands

Wasafiri wanategemewa kukaa kwa gharama zao. Hoteli ni ghali sana, maamuzi haya yamekuwa mateso kwa wasafiri.
Hivi list hii ipo published mahali popote (website, official letter etc..) kwa potential passengers wasome na kujipanga kabla ya kuja?

Wanaforce kumquarantine kila msafiri anayeingia kutokea nchi yoyote ile au ni wale wanaotoka kwenye nchi zilizoathiriwa vibaya sana? Info hazipatikani kwa wakati na tunapata shida sana kupanga safari😕

Tusipokuwa makini, hizo "quarantine centers" zinaweza kugeuka kuwa epicenter ya maambukizi
 
Wangepewa options kutokana na mifuko yao, Kariakoo zipo hotel za 25,000
Duh and you are a Dr?! Kwamba wachague tu mimi Kariakoo mwingine Machi Machi guest house kinondoni sio?
Waliambiwa ukija huku unakaa karantini siku 14 kwa gharama zako. Wangebaki huko huko wangeokoa nauli yao na wangekaa hotel za $5
 
1. I’m not a doctor
2. Hii hali ni hatari zaidi ya kuwafungia Salama Guest House na kuwapelekea hot pots za mama ntilie kwa siku 14.
 
Back
Top Bottom