The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Habari Wanajamvi
Serikali ya Ureno imewapatia wahamiaji wote waliokuwa wanaishi nchini humo bila vibali, vibali vya kuishi. Pia imeenda mbali na kuwapa wote ambao maombi yao yalikuwa processed pamoja na wale walionyimwa. Pia imehusisha asylum seekers wote. Na wote watapewa haki sawa kama za raia ikiwa pamoja na Social Benefits. Zoezi hilo lilianza toka mwezi wa April 2020.
Ni jambo jema na zuri sana Serikali ya Ureno imefanya. Permit waliyopewa ni one year halafu unarenew ukikidhi vigezo unaongezewa miaka 2-4 halafu unapewa permanent ama uraia.
Kumekuwa na furaha sana na shukrani kwa Serikali ya Ureno kutoka kwa wahamiaji. Nchi zingine za Ulaya Skandinavia zingeiga mfano ila zina roho mbaya bila sababu. Denmark, Norway na Iceland ukienda kurenew tu permit utadhani huko battlefield.
Mfano, Waziri wa Immigration and Intragration, Mattias Tesfaye 39, ambaye alizaliwa Denmark na Baba Muiethiopia na Mama Danish roho mbaya badala alegeze ukizingatia Origin yake.
Safi Sana Ureno.
CC Magonjwa Mtambuka