Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Nina rafiki yangu nipo nae huku ughaibuni,, mi namkula mweusi mwenzangu ana shape kali,, yeye anamkula mzungu shape ya kutafuta.Sijawai kudate mzungu yaani I wish
Tukipiga story anasema hana anachofaidi kwa mzungu zaidi ya kuwa ni mzungu.
Na dem wangu anajua kupangilia mavazi kwenye outing. Winter imeharibu sana ,corona imerudi tena, outing zimekoma.
Mi huwa siangalii rangi naangalia dem mkali. Wazungu wengi visura, shape zina shida balaa[emoji3][emoji3]
Kama wewe ni model unaweza pata mzungu dadangu.