Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Hao wanaokufa kwa maelfu hawana ndugu?taarifa hizi ni za upotoshaji...huko US wameshakufa zaidi ya watu 50k kwamba hao ni wajinga hawana mipango ya kudhibiti huu ugonjwa?kwanini mnakuwa na hulka ya kombea taifa mambo mabaya? Sasa serikali ifiche idadi ya vifo kwani ndiyo iliyoleta corona duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pole, hawa jamaa wanaombea Hadi wazee wao wafe, washindwe kuandika store za kutunga?? Hamnamo watu mle
 
Kwahiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpambe hakai nyuma yake wakiwa ndani, uliwahi kumuona mpambe kwenye shughuli yoyote ikulu ya DSM?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
...ACHENI KUSIKILIZA HABARI ZA POROJO HAKUNA CHA WATU KUFA AU SJUI IDADI SIYOYENYEWE HIZI POROJO ZA MITANDAONI ACHANENI NAZO

SASA SERIKALI IKUFICHE WEWE MWANANCHI ILI IWEJE ? KWANI HUU UGONJWA UMESABABISHWA NA SERIKALI DATA ANAZOTOA MH WAZIRI WA AFYA NDO HIZO HIZO SAHIHI NOTHING ELSE
 
Nashukuru sana kwa kumpa ushauri fasaha sana. Tafadhalini msituharibie jamvi letu kwa kufanya ndugu yetu aendelee kusumbuliwa Mahakamani huku watu wakijifanya kusikitika pasipo kutoka msaada wowote. Tafadhali sana tuwe makini na michango yetu ya habari
 
Wakuu msibeze anakiongea mtoa mada Ni kweli kabisa
Tena hizo ambulance zikishatoka barabara kuu zinapiga kimya
True
 
Mbona hata yule mgonjwa wa mkoa wa Mara nasikia kafa ila taarifa ya wizara sijaisikia. Nasubiri waziri athibishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…