seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,655
- Thread starter
- #361
Happening now at Kondo bahari beach; merehemu wa watu tofauti kama 10 wanakuja kuzikwa hapa Kondo - JamiiForumsWewe Ndiyo ulie leta hii habari then huna source yoyote ya kutuaminisha bora ungesema kuna ndugu zako kama watatu wamezika kwa style hiyo.
Mimi nafikiria ungekuja hata na baadhi ya picha au clip kwa siku tofauti ambulance zinapo enda kuzika maeneo ya makaburi si umesema unayajua.