Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Lilibeba maiti ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini unafikiri wangeacha kuzika? Huoni wanasaidia kupunguza maambukizi
Mimi kilio changu ni huu ugonjwa ulivyoachiwa kipuuzi mpaka kufikia hatua hii ni hao Watawala

Angalia Uganda walikuwa mbele yetu kabla hata sisi kufikiwa na ugonjwa wao mpaka sasa ni wagonjwa 50 na vifo ni vichache sana
 
..................Jamaa yangu Mohammed Fereji na ghorofa zake tatu pale Ilala na Kariakoo amezikwa kama kibudu jumanne jioni Ununio,nahisi upungufu wa vipimo vinafanya serikali kushindwa kutoa taarifa sahihi na kwa wakati sahihi so wanaamua kila anaekufa mazingira ya ghafla ni Corona kumbe wengine wanakuwa na maradhi mengine kabisa.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Wewe lete ushahidi wa picha acha mipasho kwenye issues za msingi kama hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee uliyeenda umeshindaje kutumia hata picha ukaleta?.
Na hata hivyo kufa mbona ni jambo la kawaida.
Kufa kufa tu ukifa kwa corona au malaria ni kufa tuu.
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni dereva utanielewa, siku gari yako ikiwa na kasoro utawaona traffic police wengi sana. Sio kwamba siku zote hawapo la hasha unawaona sana kwasababu unakishtukia. Ambulance zipo vile vile tu ila sasa hivi kila ukiiona unaihusisha na Corona.
 
WanaJf mlioko Dar nawapa siri sehemu salama kwa sasa ni Mafia

La sivyo subiri uzikwe huku miguu iko nje na mgambo wa jiji
 
Mimi kilio changu ni huu ugonjwa ulivyoachiwa kipuuzi mpaka kufikia hatua hii ni hao Watawala

Angalia Uganda walikuwa mbele yetu kabla hata sisi kufikiwa na ugonjwa wao mpaka sasa ni wagonjwa 50 na vifo ni vichache sana
Wewe kwa mtazamo wako ulitaka serikali ichukue hatua gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siyo kwamba immunity haikioni bali immunity at that age inauwezo mkubwa wa kupambana na vinelea vya magonjwa ukilinhanisha na hao walioenda umri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…