Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Hapa ni buza au bahari Beach?
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1427438
Ndipo tuelekeapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 1427438
Ndipo tuelekeapo
Ninamashaka kama hii idadi ya wagonjwa inayotajwa sasa haina uhusiano wowote na tamko la WB la kukopesha nchi zilizoathirika zaidi na corona.
Wamekufa kumi tu. Hizo picha na videos mtandaoni mzipuuze, ni za mabeberu wanaotaka nchi isitawalike.
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.
Mkiliona linaranda randa maeneo ya makaburi mlipuuze
Mimi kilio changu ni huu ugonjwa ulivyoachiwa kipuuzi mpaka kufikia hatua hii ni hao WatawalaLakini unafikiri wangeacha kuzika? Huoni wanasaidia kupunguza maambukizi
Wewe lete ushahidi wa picha acha mipasho kwenye issues za msingi kama hiiTembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Wewe sifia tu halafu subiri siku yako ya kupiga mayowe
View attachment 1427438
Ndipo tuelekeapo
Kama ni dereva utanielewa, siku gari yako ikiwa na kasoro utawaona traffic police wengi sana. Sio kwamba siku zote hawapo la hasha unawaona sana kwasababu unakishtukia. Ambulance zipo vile vile tu ila sasa hivi kila ukiiona unaihusisha na Corona.Godzilla umeanza vizuri ila ulipomalizia hapo sijui upo eneo gani. Mfano Dar ambulance zimekua nyingi mno tena landcruiser mpya mpya ila haithibitishi kuwa zinabeba wagonjwa wa corona lakini zipo nyingi na zinazunguka mno. Pili uwepo wa magari ya HUDUMA ZA MAZIKO za jiji zikizunguka zunguka jijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo uhakisia uliofichwa mwanzoni.
Wewe kwa mtazamo wako ulitaka serikali ichukue hatua gani?Mimi kilio changu ni huu ugonjwa ulivyoachiwa kipuuzi mpaka kufikia hatua hii ni hao Watawala
Angalia Uganda walikuwa mbele yetu kabla hata sisi kufikiwa na ugonjwa wao mpaka sasa ni wagonjwa 50 na vifo ni vichache sana
Serikali yote kuanzia Raisi na baraza lake wajiuzulu halafu iundwe serikali ya mpito hadi uchaguzi mkuu ujao
Mkuu siyo kwamba immunity haikioni bali immunity at that age inauwezo mkubwa wa kupambana na vinelea vya magonjwa ukilinhanisha na hao walioenda umri.Mara ya mwisho kuangalia takwimu zilionyesha hakuna mtu wa kuanzia mwaka 0 mpaka 19 aliyefariki kwa corona. Hivi hii haitakiwi kumaanisha kitu? Najua hii ni off topic ila how come kirusi kinachoitrick seli nyeupe na kujificha ndani mpaka immunity system haikioni kwa watu wa umri huo kwao iwe tofauti?
Huu ndiyo uhakisia uliofichwa mwanzoni.