Sawa muheshimiwa Diwani tetea mkate wako ila kwa Mungu utaenda oata zawadi yako ya unafikNa haitampata. Bali tunaomba sana iwapate ninyi mnaowatamania mabaya wenzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mindset za kuwaza upinzani ni sawa na corona kweli tuna safari ndefu.Mwanzoni walificha ukweli, sasa wanataja wapate msaada Wa world Bank au sio?
Tuna safari ndefu na hizi mindset zetu zilizojaa ccm na chadema kwa kila jambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi wanasiasa pande zote ni tatizo kuliko hata hiyo corona yenyewe, kuna wakati nawaza labda mna mbingu yenu. Nyakati zote ninyi kwa kila jambo mnawazia ustawi Wa itikadi zenu ambazo hata hazieleweki hasa mnalenga nini zaidi ya kuboresha maslahi yenu kwa migongo ya wananchi wenu. Issue hii haihitaji hizo porojo zenu hata kidogo lakini hamshtuki asilani.Hizi mindset za kuwaza upinzani ni sawa na corona kweli tuna safari ndefu.
inawezekana haupo Dar wewe. na kama upo Dar basi Chanika huko!Mada kama hii yako ni ngumu mno kuiamini, na wala haiingii kabisa akilini.
Kukiwa na ukweli wowte juu ya haya uliyoandika hapa, basi hakuna serikali iliyowekwa madarakani na wananchi. Badala yake, kutakuwa na kitu kingine kabisa ambacho sina jina la kukipa.
Kuleta mada kama hii, halafu pasiwepo na aina yoyote ya ushahidi unaoipa mada uzito, angalau hata wa kimazingira tu, ni kulifedhehesha hili jamvi la JF.
Hii ni hatari sana kama kuna aina yoyote ya ukweli kwenye mada yako.
Mkuu hivi ndugu wa dk Ulimboka, Lissu na wengine walilalamika wapi? Mie sikumbuki etiMkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?
Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Mkuu nilihisi hivyo hivyo kwamba kwakua watoto wadogo bado immunity yao inaendelea kutambua vimelea basi ni rahisi kwa immunity yao kudetect hivi virusi hata kabla havijaingia kwenye seli. Ila sijaprove hicho ninachohisi.Mkuu siyo kwamba immunity haikioni bali immunity at that age inauwezo mkubwa wa kupambana na vinelea vya magonjwa ukilinhanisha na hao walioenda umri.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo jamaa yako ni nani mbali na jina, naomba kujua..................Jamaa yangu Mohammed Fereji na ghorofa zake tatu pale Ilala na Kariakoo amezikwa kama kibudu jumapili jioni,nahisi upungufu wa vipimo vinafanya serikali kushindwa kutoa taarifa sahihi na kwa wakati so wanaamua kila anaekufa mazingira ya ghafla ni Corona kumbe wengine wanakuwa na maradhi mengine kabisa.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Kuna jamaa yangu kaichukua familia yake yote ameipelekea Mafia kisiwani
Kanipigia anasema sehemu pekee salama kwa sasa ni huko
Nami nimemuahidi hata kwa kuogelea nitakwenda na wapendwa wangu
Huko kisiwani jamaa kakodi nyumba nzima iko nje kabisa ya mji maisha yako chini sana amefanya manunuzi ya chakula cha mwezi na nusu hadi miwili hakuna cha daladala ni mwendo baiskeli tuHahaha...
Sasa sehemu kama hiyo inaweza geuka jehanamu, akiupata mmoja tu huko au mtu akiupeleka tu huko...balaa litaanzia hapo
CIA wanajua ukweli unaofichwa na viongozi wetu ndio maana wakaamua kuondoa wamarekani wote juzi"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Wagonjwa wanasema wanakufa huku wakijiona Mochwari imejaa mpaka nje harufu imekuwa ya kutishaNasikia wagonjwa wamekimbia amana?
Kwanini wajiuzulu?Serikali yote kuanzia Raisi na baraza lake wajiuzulu halafu iundwe serikali ya mpito hadi uchaguzi mkuu ujao
Hilo ndio linalotakiwa sasa, siyo kila siku mnatupigia kelele humuKuna jamaa yangu kaichukua familia yake yote ameipelekea Mafia kisiwani
Kanipigia anasema sehemu pekee salama kwa sasa ni huko
Nami nimemuahidi hata kwa kuogelea nitakwenda na wapendwa wangu
Duh
Kabla ya corona hapakuwa na ambulance hapo dar?Godzilla umeanza vizuri ila ulipomalizia hapo sijui upo eneo gani. Mfano Dar ambulance zimekua nyingi mno tena landcruiser mpya mpya ila haithibitishi kuwa zinabeba wagonjwa wa corona lakini zipo nyingi na zinazunguka mno. Pili uwepo wa magari ya HUDUMA ZA MAZIKO za jiji zikizunguka zunguka jijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu