Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

Zinapita mitaaninkwenu tu? Mbona sisi hatuzioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim na mtu anaumwa korona na amelezwa, ameniambia watu wanao umwa ni wengi yeye akiwa mmojawapa aliyelazwa acha uzwazwa
 
Kuna shughuli yeyote ya selikali imekwama sababu ya corona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo jamaa yako ni nani mbali na jina, naomba kujua
Ni mfanyabiashara alifariki ghafla jumamosi alfajiri,bidhaa nyingi zinazotoka nje ya nchi zinazohusiana na oil Kariakoo yeye ndiye aliyekuwa importer mkubwa,Yuko na shemeji yake anaitwa Hamis Mohamed hawa jamaa ni wakutoka Tanga na huyu Hamis pia wamem-lockdown nyumbani kwa marehemu Ilala pamoja na wale wote walioenda kumsaidia marehemu saa zake za mwisho.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Jana nilikua maeneo ya makaburi ya kondo, wale majirani walisema the same thing, ambulance zinakuja usiku zinazika wakimaliza wanapiga dawa magari na eneo lote walilokuwepo.

Lakini unafikiri wangeacha kuzika? Huoni wanasaidia kupunguza maambukizi?
Hao watu wanaozikwa hawana ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Source ni mazingira aliyokutajia.
Nyemelea mida ya usiku halafu uje ukomenti.
Mwandishi wa habari akipata habari huingia field kuprove. Sasa ushatajiwa mazingira nenda kafanye random investigation
 
This comment
This comment
This comment
 
Mimi kilio changu ni huu ugonjwa ulivyoachiwa kipuuzi mpaka kufikia hatua hii ni hao Watawala

Angalia Uganda walikuwa mbele yetu kabla hata sisi kufikiwa na ugonjwa wao mpaka sasa ni wagonjwa 50 na vifo ni vichache sana
Maji yameshamwagika mkuu, cha msingi ni kupambana na tatizo kwa sasa.
 
Watu kila siku wanakufa mahospitalini kabla hata ya hiyo corona yenu!

Hao watu "wanaopukutika" kwa corona mbona siwaoni?

Hizo ambulance huwa zinapita mitaa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona ni moja ya ugonjwa unao ua watu wengi kwa mda mfupi sana na hauna dawa, watu wangekua na akili Kama zako kusingekua na jitihada za kutafuta dawa ya ugonjwa wowote ule sababu si tutakufa tu
 
Kwa nini wajipeleke mapema? Ugonjwa hauna tiba then unaenda hospital kufanya nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hivo wewe hata ushauri wa wataalamu hufuati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…