Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Zinapita mitaaninkwenu tu? Mbona sisi hatuzioni?Godzilla umeanza vizuri ila ulipomalizia hapo sijui upo eneo gani. Mfano Dar ambulance zimekua nyingi mno tena landcruiser mpya mpya ila haithibitishi kuwa zinabeba wagonjwa wa corona lakini zipo nyingi na zinazunguka mno. Pili uwepo wa magari ya HUDUMA ZA MAZIKO za jiji zikizunguka zunguka jijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app