Basi endelea kuamini unacho aminiKama serekali yako Kila mtu anajitajia namba yake rais anatakwimu zake, makonda ana takwimu zake, na waziri mkuu ana takwimu zake Sasa atanikikutajia huwez kubali, time will tell
Utafikiri ni mlinzi wa makaburi, kwa hiyo anakaa makuburin akiangalia Nan ana zika au la, alafu anafikiri ambulance ikienda kuzika inapiga king'oraKaongea pumba. Yani makaburi ya Buza hajawahi kuzikwa mtu na wewe unaamini?

Acheni UONGO habari bila ushahidi wa wahusika waliofiwa ni Uchochezi mitandaoniTembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?
Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.
Hii picha imepigwa wapi?View attachment 1427438
Ndipo tuelekeapo
Hadithi ndeefu, umeshindwa kutuwekea hata picha ya wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kimya kimya? Mambo kama haya yanahitaji ushahidi sio bla bla"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Sasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flashAcheni UONGO habari bila ushahidi wa wahusika waliofiwa ni Uchochezi mitandaoni
HAKUNA hata kapicha ka wizi kuwa watu wappo makaburini?
Hizo picha za magari ya Jiji yakienda zika zipo wapi? kwanini JF ionekane ni mzushiMimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Mkuu wala usikonde hao walijifukiza labda kupita kiasiHii picha imepigwa wapi?
aliyepiga nani?
hayo makaburi wanazikwa raia wa nchi gani?
wamekufa kwanini?
Nimbaya sana kuokota picha kwenye mitandao, kuaminisha wanaokufa ni watanzania, sio sawa kutuma picha ambayo haina maelezo ya kutosha kwa ajili ya kuwapa hofu watu.
HOFU YA UGONJWA INAUA kuliko corona yenyewe.
nani kachimba makaburi? hata udongo uliofukiwa leoleoSasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flash
Leo usiku itabidi kuwahonga wahusika ili kuchukua picha kadhaa
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
KWELI KABISA WALIPUUZE TU...NA HATA LIKINASA LIKIWA NA MZIGO NA WASAIDIE KULISUKUMA TUWamekufa kumi tu. Hizo picha na videos mtandaoni mzipuuze, ni za mabeberu wanaotaka nchi isitawalike.
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.
Mkiliona linaranda randa maeneo ya makaburi mlipuuze
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka
Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka
Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.
Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute
Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni
Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili
Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli
Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,
Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki
Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,
Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu
Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar
Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa