Tetesi: Corona inapukutisha watu Dar. Kuna wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kinguvu na Mamlaka Dar huko Bahari Beach, Buza na Mbweni

iV1yQPE-2.gif

Mwami wa kihutu anapeleka Watanzania kuzimu huku wakila bolingo
Ccm nambari wanieeee!!kigwangala charaza hilo solo...oyaa...Kangi hebu kata kiuno

Hali halisi hiko makaburini usiku wa manane ndio hii
 
Kaongea pumba. Yani makaburi ya Buza hajawahi kuzikwa mtu na wewe unaamini?
Utafikiri ni mlinzi wa makaburi, kwa hiyo anakaa makuburin akiangalia Nan ana zika au la, alafu anafikiri ambulance ikienda kuzika inapiga king'ora
 
Tembeleeni usiku wa manane sehemu zilizotajwa kama Buza makaburini mkajionee
Bahari beach eneo la kondo Buza na Mbweni acheni kusifia mapambio ya mwami wa kihutu anaetupeleka kuzimu
Acheni UONGO habari bila ushahidi wa wahusika waliofiwa ni Uchochezi mitandaoni
HAKUNA hata kapicha ka wizi kuwa watu wappo makaburini?
 
Mkuu, wewe umeshuhudia watu wakizikwa kwenye hayo makaburi au ni hisia tu? Watu wangapi? How ndugu zao wamemlalamikia nani? Kwamba milio ya ambulance ni ushahidi watu 'wengi' wanakufa?

Ni kweli Corona ni tatizo, lakini hatutaishinda kwa kutishana na kujazana hofu. Tutimize wajobu wetu kuishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua kwenye mapambano haya huku kila mmoja wetu akichukua tahadhari. Uongo na vitisho kwa wananchi havina tija, vina madhara makubwa zaidi.

Nilichomuelewa mimi ni kwamba, tembelea zile sehemu maalum za kuzikia watu waliokufa kwa corona then angalia idadi ya makaburi yaliyopo yanalingana na takwimu ya vifo inayotolewa rasmi?
 
Hii picha imepigwa wapi?

aliyepiga nani?

hayo makaburi wanazikwa raia wa nchi gani?

wamekufa kwanini?

Nimbaya sana kuokota picha kwenye mitandao, kuaminisha wanaokufa ni watanzania, sio sawa kutuma picha ambayo haina maelezo ya kutosha kwa ajili ya kuwapa hofu watu.

HOFU YA UGONJWA INAUA kuliko corona yenyewe.
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi
Hadithi ndeefu, umeshindwa kutuwekea hata picha ya wanaolalamika ndugu zao kuzikwa kimya kimya? Mambo kama haya yanahitaji ushahidi sio bla bla
 
Acheni UONGO habari bila ushahidi wa wahusika waliofiwa ni Uchochezi mitandaoni
HAKUNA hata kapicha ka wizi kuwa watu wappo makaburini?
Sasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flash

Leo usiku itabidi kuwahonga wahusika ili kuchukua picha kadhaa
 
Mimi bado nina mshangao tu kuwa Rais amesema tujifukize sijui kawaza nini mheshimiwa
Hizo picha za magari ya Jiji yakienda zika zipo wapi? kwanini JF ionekane ni mzushi
mbona za kujifukiza zinafundisha kata muarobaini chemsha mpaka 100 centigrade chukua shuka jifunike
1587623450493.png
 
Hii picha imepigwa wapi?

aliyepiga nani?

hayo makaburi wanazikwa raia wa nchi gani?

wamekufa kwanini?

Nimbaya sana kuokota picha kwenye mitandao, kuaminisha wanaokufa ni watanzania, sio sawa kutuma picha ambayo haina maelezo ya kutosha kwa ajili ya kuwapa hofu watu.

HOFU YA UGONJWA INAUA kuliko corona yenyewe.
Mkuu wala usikonde hao walijifukiza labda kupita kiasi
 
Sasa wewe unaambiwa ni usiku sasa hata mtu atachukuaje picha ya kuibia bila ya flash

Leo usiku itabidi kuwahonga wahusika ili kuchukua picha kadhaa
nani kachimba makaburi? hata udongo uliofukiwa leoleo
huu ugonjwa tutajitibia wenyewe Watanzania ni mdogo tu km ni wa popo au nyani au Maabara
ulishatokea Ugonjwa wa Bonde la Ufa, Tauni, Corella sembuse Corona
 
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi

Hii ni taarifa ya ovyo na ujinga kabisa, ebu tuondolee upuuzi wako.

Nani anae lalamika? huko unapopata pataja kuna uongozi wake kama kweli hii habari ya ukweli tutajie jina la Mtaa wanaozikwa watu.

Huko pia kuna raia wanaojitambua na kujua baya na zuri TUTAJIE MAJINA YA WATU WALIOKUFA NA KUZIKWA KIMYA KIMYA!! acha kabisa story zako za kijweni kuleta humu JF.

Tutajie nani ambae ndugu yake amezikwa kimya kimya, pia wanatoka mtaa gani? nani mjumbe wao wa washina?

Kwa jinsi ninavyo wajua mimi watanzania, kwa post habari picha na kurusha kwenye mitandao hizo picha zingezagaa kote tena kwa kasi ya 5G.

Ajali ya barabarani au mtu kafumaniwa na mke wa mtu raia wanarusha picha za kumwaga sembuse kifo cha corona ambayo ndiyo habari ya dunia!!!

Watanzania wenzangu CORANA IPO, TENA INAUA tuchukue taadhali.
 
Wamekufa kumi tu. Hizo picha na videos mtandaoni mzipuuze, ni za mabeberu wanaotaka nchi isitawalike.
Hata lile lory la manispaa lililoandikwa Dar City Council burial services sio la serikali, hata Kama Lina namba SU.
Mkiliona linaranda randa maeneo ya makaburi mlipuuze
KWELI KABISA WALIPUUZE TU...NA HATA LIKINASA LIKIWA NA MZIGO NA WASAIDIE KULISUKUMA TU
 
Tuonyeshe familiar moja mkuu Sio mnabumba bumba maneno ndio dar Corona ipo Ila haipo Kama unavyo ielezea wewe apo
"Dar es Salaam lazima kuwe na wagonjwa wengi na vifo vingi kutokana statistically kuna Population kubwa".Hii kauli ni ya Mamlaka

Ukweli huogopesha lakini bora usemwe,Corona maeneo ya Dar es Salaam inamaliza watu, Hakuna mwandishi au gazeti ambalo linaweza kuhoji familia hizi zinazolia kila siku kwa kutowaona wapendwa wao wanaozikwa kimya kimya na Mamlaka

Kauli za kupeana Morali kuwa watu wachape kazi waongeze pato la Taifa Dar es Salaam litamsaidia nani? Hizi familia ambazo ndugu zao wanazikwa kwa kuugua corona zina mateso makali sana.

Watu maarufu na wenye ushawishi kwenye mamlaka na jamii ndio hao wanazikwa na watu wasiozidi ishirini au kumi, Je wewe kabwela ambae hutambuliki na mamlaka omba yasikukute

Uchunguzi ufanyike nini kinachoendelea maeneo ya makaburi ya huko Bahari Beach eneo la kondo,Buza na Mbweni

Uchunguzi ufanyike ongezeko la kelele za ambulance kwa wingi maeneo ya Dar es salaam kutoka hospital kuelekea maeneo hayo ni wangapi wanazikwa kwa janga hili

Tunakubaliana vita inahitaji umorali na nguvu lakini hili ni gonjwa sio vita linahitaji tiba tahadhari na ukweli

Leo hii kuna malalamiko makubwa watu wakifuatilia ndugu zao hospitali waliolazwa wanajibiwa alishafariki na kuzikwa na mamlaka kimya kimya,

Mamlaka imeamuru wizara ya afya ijibu kuwa sio kila mgonjwa hufa kwa corona ni kweli.Je kwanini wanazikwa na mamlaka bila hata ndugu kuhusishwa bali hujibiwa ndugu yenu alishazikwa amefariki

Wizara ya afya ni bora mkaongea ukweli ili watu wachukue tahadhari kuliko sasa mnapojaribu kuuma na kupuliza,

Paul Makonda alikuwa anapuliza na kufariji watu wachape kazi lakini visa vya watu kupukutika na corona sasa amebadili kauli na kuamua kuwa mkweli kuwa Dar corona inamaliza watu

Mamlaka kila siku inakuja na kauli kinzani kama corona sio ishu kwanini mnafunga shule Tanzania nzima, Ruhusuni baadhi ya mikoa elimu iendelee isipokuwa Dar na Zanzibar

Wanakijiji wasiojielewa na baadhi ya wapiga pambio wao hawachuji kauli za mamlaka, Hii itapelekea watu kuwa na morali na kupukutika zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom