Corona is a Mission but failed in Tanzania

We jamaa umejawa Ujinga wakupindukia
Yaani Mada ni Corona ww umeenda kwenye SGR
Umeonyesha jinsi gani Huna hoja kuchangia zaidi yakuonyesha ulivyo Kilaza
 
We jamaa umejawa Ujinga wakupindukia
Yaani Mada ni Corona ww umeenda kwenye SGR
Umeonyesha jinsi gani Huna hoja kuchangia zaidi yakuonyesha ulivyo Kilaza
Mkoloni aliondoka na akili zao.
 

SASA TUTAJUA KIONGOZI WA NCHI GANI MWENYE AKILI TIMAMU ,NA ILI UWE NA AKILI TIMAMU KILA KIONGOZI WA NCHI AENDELEE KUSHIKILIA MSIMAMO WAKE, ANKO MAGU KASEMA NEVER LOCKDOWN IN TZ UPANDE ULE WA KASKAZINI LOCKDOWN KWAO NDIO WAMEFANYA KINGA NA DAWA SASA TUTAONA HIYO LOCKDOWN MPAKA LINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni rahisi kuyasema hayo ila ikikufikia hadi kumchukua ndugu yako au yeyote umpendaye inakua mziki tofauti, hebu soma hii post Corona is a Mission but failed in Tanzania - JamiiForums
 
COVID-19 ishaua wangapi Tanzania mpaka useme ni "FAILED MISSION"??? Ishaondoka na vigogo kibao na makapela wengi tushawalaza "UNUNIO".

Ndio zenu mnaosema vitu vya China ni "FAKE". Sasa Corona nayo ni "MADE IN CHINA", tusubiri tuone.
Hiyo subiri ni mpaka zifike siku ngapi?
Toeni kabisa time limit ili tupime nani mkweli kati yenu na serikali.
 
Tangu mwezi march mnatuambia tusubiri tuone...na sasa nusu ya mwezi may imeshakatika!
Laiti ungepata uchungu na maumivu ya kuzika ndugu yako wa damu ukisaidiwa na wat wasiozidi 10 usingeropoka haya.

The pitch and feeling ya kuondokewa na ndg anayeipata na muhusika. Kaa kimya, omba Mungu lisikukite hasa kwa sbb ya Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushashi,

Eti uchunguzi uliofanya wewe mwenyewe ukaja kwenye conclusion kua Covid-19 ni mission.

Uchunguzi wako wa kuangalia CNN na kusoma websites, and who are you really?

Tukuamini wewe nani?

Kila mtu ana uchunguzi wake,different from you,thats means anyone can discover anything about anything!
 
Kwani alokusudiwa kufa amekufa? au hujui kwa nini vibaraka wa mabeberu kila siku wanapiga mayowe aende Dar?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini ni njaa na mwaka huu mtakosa mpaka gidheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, ni kweli Watanzania ni maskini, lakini masikini wa Tanzania ni tajiri ukilinganisha na masikini wa Kenya.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa huwa zuzu kweli
Yaani Anataka SGR ya Bongo ijegwe kama yao
Leo hii Wanaumia moyoni Kwa Ahadi zakipuuzi walizo pewa 2013


Tutajenga Hata kama ni miaka 20
Ila Isiwe yakijinga kama yao
Anadhani labda GOT wanajenga mitungi ya changaa kama ile yao [emoji23]
Kitu cha Bombardier’s TALENT 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…