Corona is a Mission but failed in Tanzania

Corona is a Mission but failed in Tanzania

Leta ushahidi kwamba Tanzania ni masikini ndani ya top 10....

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua kusoma jina la nchi yako, mko namba ngapi hapa naomba majibu

focuseconomics_poorest_countries_nov_2018-01.png


The Poorest Countries in the World (2019-2023)
 
Hao majirani wakae mkao wa kula wasubiri second wave third wave, maybe fourth wave.... Wamefugia watu wao ndani wasiumwe na mdudu wa Corona, kitu ambacho kitakuja kuwa cost kwa namna moja au nyingine. At some point itabidi wafungiwe mipaka yao na kukaribisha watu wafanye biashara nchini mwao, wasipofungua uchumi ndio bye bye. Model ya kuweka watu quarantine haitaleta matunda maana watu hawawezi kupoteza wiki mbili za kukaa bure bila kufanya kazi yoyote.

Wakati wangetumia muda wa kupata wagonjwa wa aina mbali mbali na kufanya utafiti wa ugonjwa huo, wao wanawaficha watu wao na kueneza hofu. Ukifanya utafiti kwa mtu mwenye hofu HORMONES zao zitakupa majibu tofauti na yale unayoyataka.
It's too early to shout for victory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kujitahidi, iko siku utafaulu kuandika kwa kingereza, ila kwa sasa endelea kutapatapa.
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Mbongo anaeona fahari kujiita Mkenya.This is purely Tanzanian Swahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vigumu kuchukua tahadhari bila hofu, fahamu hofu ni hisia za kibiolojia na iliumbwa kwenye miili yetu ili ituwezeshe kuchukua tahadhari panapostahiki, usingekua na hofu hata unaweza kwenda kumshika simba kidevu maana huogopi chochote, lazima jamii iingiwe na hofu ya kufahamu hiki kitu kipo na kinaua, hapo watatia akili na kuchukua tahadhari.
fanyeni yanayowahusu tz tuachien wenyewe

Huu muda unaotumia hapa bora ungeisaidia nchi yako kupambana na
1kipindupindu
Locust
Njaaa
Corona
Maji sjui ata ka umechamba apo ulipo
Ukabila etc...

Ndo tushaamua sasa kama unahasira meza wembe

Kwa kwa nn tuwajibu wakat li nchi lenu linaenda mufilisi!?
 
Hiyo soon tutakua soon tutakua soon tutakua ni wimbo mumeimba sana, halafu nilishangaa sana kuona sehemu eti waziri mkuu wenu anasema kale kasafu kenu ka SGR Dar-Moro mpaka sasa ni 77%

Yaani mnavyojitutumua na kuhema na kutapatapa mpaka awamu ya tano inaisha hatamu ya kwanza hamna chochote mlichokamilisha cha kuonekana.

Awamu ya nne Kikwete aliwakimbiza kiana lakini kwa sasa naona ni mikwara na hasira tu hamna kitu, na ndio maana mnakua wakali kwa hili la corona, mnacheza tiki taka za mapaipai.
MK254 tuwache bwana, sisi ni dona kantri wenye maabara moja tu yenye uwezo wa kupima covid-19 ambayo nayo inayofanyiwa uchunguzi kama kweli "ina akili timamu". Ukweli mchungu, lakini ni wale tu ambao matumbo yao yameunyang'anya ubongo kazi ndiyo pekee wanaushabikia uongozi wa huu mchama wa MCC.
 
Japo wewe ni m-K (hater) lakini hapa umeongea fact kabisa
Ni vigumu kuchukua tahadhari bila hofu, fahamu hofu ni hisia za kibiolojia na iliumbwa kwenye miili yetu ili ituwezeshe kuchukua tahadhari panapostahiki, usingekua na hofu hata unaweza kwenda kumshika simba kidevu maana huogopi chochote, lazima jamii iingiwe na hofu ya kufahamu hiki kitu kipo na kinaua, hapo watatia akili na kuchukua tahadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama takwimu hazitolewi wiki 2 wewe umejuaje
Kwa namna tulivyochukua hatua dhidi ya corona ilikuwa si rahisi kuficha vifo vya mtaani,yaani tungekuwa tunaokota maoti kibao kila siku lakini ni tofauti watu wote sisi tunaishi mitaani, tena huku uswahillini kabisa full michanganyiko, hakuna mtu anayejali kama kuna corona toka mwezi wa 3 cha kushangaza watu wapo kama kawaida, hafi mtu kama mlivyotabiri ,maisha yanasonga. Hamuwezi kuongopa sisi sote tunaishi mitaani,tena mitaa yenye mchanganyiko wa watu haswaaaa na tunaona maisha yanavyoendelea,imefika hatua sasa hadi malofa yaani watu huku mitaani wanaona kama corona hakuna,wanaona kama ilikuwa story tu,na watu wangekuwa wanakufa, tungeona maiti mtaani, tungeona muitiko wake.
 
Laiti ungepata uchungu na maumivu ya kuzika ndugu yako wa damu ukisaidiwa na wat wasiozidi 10 usingeropoka haya.

The pitch and feeling ya kuondokewa na ndg anayeipata na muhusika. Kaa kimya, omba Mungu lisikukite hasa kwa sbb ya Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la kuondokewa na ndugu wa karibu lipo miaka yote hata hiyo corona haijaja..

Wewe tuambie umeondokewa na watu wangapi kwa corona? Na ukumbuke tb, malaria, presha, kansa, ajali bado vipo...sisi sote ni watu wazima na tuna akili timamu kabisa, sio mnatuongopea ongopea tu hapa.
 
ushashi,
Hahahaha let us hear from some few Kenyans and our Chadema followers who are always against the T Z government
 
Hivi nyie Ni matajiri?
Hakuna namna, kama walichukua hatua na kufanya "lockdown" (hata kama ni kwa baadhi ya counties) wakati sisi tunalalama waTz kuwa ni masikini na hawataweza basi tuwatambue tu kuwa ni matajiri, tuwache roho mbaya!
 
Kaka yako kafariki jana afu una mahasira hivyo. Covid 19 ipo, but not to that extent. Hata nchi ziloathirika sana, wanaopona ni wengi zaidi ya wanaokufa, na WHO wamesema the disease is here to stay, so either isolate forever au prevent.
Sasa usiwe na moto kipindi hiki, you need to be more positive.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima niwe nazo siwezi kwenda kumzika sio poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajizuia Kula? Sema bro kama huna chakula nipe nambako Mpesa tukuchangie...TZ tuna ukarimu chakula is necessary for everyone

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiniletee ungumbaru hapa.

I don't do it, I overdo it.

I obliterate little idiots to smithereens with neither mercy nor apology.

Nakwambia kwamba sina tatizo la kukosa chakula labda tatizo liwe wingi wa chakula.

Nashukuru kwa ukarimu wako feki, lakini nchi niliyopo mimi sasa hatuna MPesa.

Usikariri kwamba wote tupo hapo Africa.

Chakula nimenunua cha mwezi mzima kipo ndani.

Kuanzia Chilean bass, organic salmon, mpaka Haagen-Dasz ice cream. Unaelewa hivyo ni vitu gani?

Nikawatafuta ndugu huko Tanzania nikawatumia hela wanunue chakula cha mwezi mzima nao.

Nikamtafuta ndugu mwingine kapunguzwa kazini kutokana na Covid-19 nikamtumia pesa.

Kwa hivyo kwa sasa sitahitaji msaada wako.

Ila kama unahitaji watu wa kuwasaidia, naweza kukupa list.
Fucktard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushashi,
It is too early to say we have won corona war especially when we don't test as much as others. If it is about fear the west is in worse fear than us, it is not the west who started this, and are the ones paying the highest price at the moment, all biggest nations are in worse. So I don't see the reality of your words but conspiracy theory.
 
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Yaani sisi tumesongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu? we jamaa unadharau kinoma.Wakati wenye bar wanalia huku.Sisi tunasonga mbele nyie endeleeni na utaratibu wenu huko Kenya.
 
ushashi,

It seems you wish what you wrote was true. I hope mzee baba wishes that too.

Unfortunately you well know what you wrote is rubbish. Mzee baba knows that too. For the reason he has opted to retreat back to his native village, formerly declaring himself as an alien in Dar or Dodoma.
 
Yaani sisi tumesongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu? we jamaa unadharau kinoma.Wakati wenye bar wanalia huku.Sisi tunasonga mbele nyie endeleeni na utaratibu wenu huko Kenya.

Ona mlivyoo, mnasongamana kote.



 
Back
Top Bottom