Corona is a Mission but failed in Tanzania

It's too early to shout for victory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbongo anaeona fahari kujiita Mkenya.This is purely Tanzanian Swahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fanyeni yanayowahusu tz tuachien wenyewe

Huu muda unaotumia hapa bora ungeisaidia nchi yako kupambana na
1kipindupindu
Locust
Njaaa
Corona
Maji sjui ata ka umechamba apo ulipo
Ukabila etc...

Ndo tushaamua sasa kama unahasira meza wembe

Kwa kwa nn tuwajibu wakat li nchi lenu linaenda mufilisi!?
 
MK254 tuwache bwana, sisi ni dona kantri wenye maabara moja tu yenye uwezo wa kupima covid-19 ambayo nayo inayofanyiwa uchunguzi kama kweli "ina akili timamu". Ukweli mchungu, lakini ni wale tu ambao matumbo yao yameunyang'anya ubongo kazi ndiyo pekee wanaushabikia uongozi wa huu mchama wa MCC.
 
Japo wewe ni m-K (hater) lakini hapa umeongea fact kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama takwimu hazitolewi wiki 2 wewe umejuaje
Kwa namna tulivyochukua hatua dhidi ya corona ilikuwa si rahisi kuficha vifo vya mtaani,yaani tungekuwa tunaokota maoti kibao kila siku lakini ni tofauti watu wote sisi tunaishi mitaani, tena huku uswahillini kabisa full michanganyiko, hakuna mtu anayejali kama kuna corona toka mwezi wa 3 cha kushangaza watu wapo kama kawaida, hafi mtu kama mlivyotabiri ,maisha yanasonga. Hamuwezi kuongopa sisi sote tunaishi mitaani,tena mitaa yenye mchanganyiko wa watu haswaaaa na tunaona maisha yanavyoendelea,imefika hatua sasa hadi malofa yaani watu huku mitaani wanaona kama corona hakuna,wanaona kama ilikuwa story tu,na watu wangekuwa wanakufa, tungeona maiti mtaani, tungeona muitiko wake.
 
Suala la kuondokewa na ndugu wa karibu lipo miaka yote hata hiyo corona haijaja..

Wewe tuambie umeondokewa na watu wangapi kwa corona? Na ukumbuke tb, malaria, presha, kansa, ajali bado vipo...sisi sote ni watu wazima na tuna akili timamu kabisa, sio mnatuongopea ongopea tu hapa.
 
ushashi,
Hahahaha let us hear from some few Kenyans and our Chadema followers who are always against the T Z government
 
Hivi nyie Ni matajiri?
Hakuna namna, kama walichukua hatua na kufanya "lockdown" (hata kama ni kwa baadhi ya counties) wakati sisi tunalalama waTz kuwa ni masikini na hawataweza basi tuwatambue tu kuwa ni matajiri, tuwache roho mbaya!
 
Lazima niwe nazo siwezi kwenda kumzika sio poa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajizuia Kula? Sema bro kama huna chakula nipe nambako Mpesa tukuchangie...TZ tuna ukarimu chakula is necessary for everyone

Sent using Jamii Forums mobile app

Usiniletee ungumbaru hapa.

I don't do it, I overdo it.

I obliterate little idiots to smithereens with neither mercy nor apology.

Nakwambia kwamba sina tatizo la kukosa chakula labda tatizo liwe wingi wa chakula.

Nashukuru kwa ukarimu wako feki, lakini nchi niliyopo mimi sasa hatuna MPesa.

Usikariri kwamba wote tupo hapo Africa.

Chakula nimenunua cha mwezi mzima kipo ndani.

Kuanzia Chilean bass, organic salmon, mpaka Haagen-Dasz ice cream. Unaelewa hivyo ni vitu gani?

Nikawatafuta ndugu huko Tanzania nikawatumia hela wanunue chakula cha mwezi mzima nao.

Nikamtafuta ndugu mwingine kapunguzwa kazini kutokana na Covid-19 nikamtumia pesa.

Kwa hivyo kwa sasa sitahitaji msaada wako.

Ila kama unahitaji watu wa kuwasaidia, naweza kukupa list.
Fucktard.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushashi,
It is too early to say we have won corona war especially when we don't test as much as others. If it is about fear the west is in worse fear than us, it is not the west who started this, and are the ones paying the highest price at the moment, all biggest nations are in worse. So I don't see the reality of your words but conspiracy theory.
 
Labda niawashauri Watanzania, acheni kujichokea kwa huo umaskini wenu, mnakata tamaa mapema sana, endeleeni kupambana, chukua tahadhari, acheni kusongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu.
Yaani sisi tumesongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu? we jamaa unadharau kinoma.Wakati wenye bar wanalia huku.Sisi tunasonga mbele nyie endeleeni na utaratibu wenu huko Kenya.
 
ushashi,

It seems you wish what you wrote was true. I hope mzee baba wishes that too.

Unfortunately you well know what you wrote is rubbish. Mzee baba knows that too. For the reason he has opted to retreat back to his native village, formerly declaring himself as an alien in Dar or Dodoma.
 
Yaani sisi tumesongamana kwenye vilabu vya pombe na machangu? we jamaa unadharau kinoma.Wakati wenye bar wanalia huku.Sisi tunasonga mbele nyie endeleeni na utaratibu wenu huko Kenya.

Ona mlivyoo, mnasongamana kote.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…