Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu wengi sana kwa gonjwa hili na kwa sababu haikuwekwa wazi basi wanaendelea kutotuambia ukweli.
Sasa wanageuza Corona kama mtaji wa kisiasa wakati lengo lako halikuwa kututakia mema bali ilikua ni kubana bajeti na kuyumba kiuchumi.
Yaani ilikua ni kuogopa anguko za kisiasa kwa sababu ya kupoteza rasilimali ambazo zingetumika kwa ajili ya kukabiliana na Corona. Kwa mtanzania anayeelewa atajua dhamira kuhusu Korona ilikua nini na ndiyo maana inatumika kama mtaji wa kisiasa.