CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

Usidanganywe namtu yeye mwenyewe alijiweka karantini chato
 
Wewe acha kuleta porojo zako za kijiweni kwa kokosa expossure
Unafikiri unaweza kuficha vifo vinavyoletwa na ugonjwa wa mlipuko unao ua kwa kasi. Uliza Itally walikuwa wanazika watu wa ngapi kwa mji mmoja hadi wakaomba wanajeshi wapelekwe kusaidia kuzika
Kimsingi kuna mambo yanafanyiwa uchunguzi;
Mf: Pamoja na maombi yaliyofanyika, ni vitu gani vingine vimechangia kuimarisha kinga zetu kuliko mataifa mengine hasa Nchi zilizoendelea. Hiyo ndiyo reseach kubwa inaendeshwa na Jopo la madactari Bingwa duniani
 
Sina ndugu wala rafiki aliekufa kwa corona so acha kupotosha. Ila pia kama watu wanatumia risasi 16 kama mtaji wa kisiasa kwanini waliotuvusha salama kwenye janga la corona wasilitumie kisiasa?
Kwanini nawewe hukutembea mitaani ulikimbilia chato?
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
Jiwe alikuwatayari tuishe wote kwa course aliyoichukua maana kulikuwa na hatari ya terrible epidemic
 
menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha
Takwimu zipi zilifichwa‼️⁉️, tupe takwimu zako wewe: katika ukoo wako walikufa wangapi, mtaani kwako walikufa wangapi, kijijini kwenu walikufa wangapi!?. Wewe unatafuta kick kwa kuleta uongo
 
Prof fake.
 
Kila mtu anayo haki ya kufa au kuishi! Kufungia watu kwa kisingizio cha Corona kama mataifa mengi yanavyofanya kwa kutumia mabavu ndio jambo baya zaidi! Tuliongozwa vyema sana na JPM vita ya Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…